Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Na 2020 bado mtatumia hiyo ya mabadiliko?
Hivi copper ni nyekundu?
Kopa ndio nini? Unamaanisha Khadija Kopa?
Fanyen sherehechadema inatumbukia shimoni taratiibu
utabir wa Wasira kutimia
Ndio nimewarahisishia kazi wairasimishe iwe nembo ya chama
Yaonekana una hamu ya kutengeneza bendera. Kaanzishe chama.Baada ya utamaduni wa kuongozwa na fikra na muhemko wa 'kidikteta' wa mtu mmoja kuwa ndio utamaduni pendwa ndani ya Chadema basi nichukue fursa hii kuwashauri jambo hasa hasa mwenyekiti Mbowe.
Ufafanuzi kuhusu udikteta wa kimaamuzi ndani ya Chadema
Kwa wanaokumbuka bendera ya Chadema ilikuwa na rangi ya blue bahari kwa sehemu kubwa lakini uamuzi wa mtu mmoja uliibadilisha na kuwa na rangi hii iliyo nayo sasa.
Pia kwa wale mnaokumbuka aliyebadili msemo wa pipoooz power kuwa msemo wa hamasa 'makamanda' wa Chadema na badala yake kuanza kutumia msemo wa mabadilikoooo lowassa alikuwa ni mmoja tu tena ghaflaghafla tu ....
Hayo mabadiliko na mengine ambayo yameshatajwa sana humu jamvini yanatosha kabisa kuwapa sifa viongozi wa Chadema kuwa viongozi wenye hulka za 'kidikteta'
Nikirudi kwenye ushauri wangu...napendekeza Chadema kwa mara ya kwanza iachane na udikteta wa kimaamuzi na iwashirikishe wafuasi wake katika zoezi la kubadili nembo ya V iliyoko kwenye bendera ya sasa na badala yake iwekwe alama ya mikono miwili inayoonesha alama ya mabadiliko...hii itaendana sana na slogan aliyoileta mwenyekiti baada ya.........
nasisitiza zoezi hili lishirikishe wanachama ili kuondokana na dhana inayotaka kujengenga ya udikteta ....
NAWASILISHA
CC:CHADEMA ASILIA
CC:CHADEMA ULIPO TUPO
CC:CHDEMA KASKAZINI
CC:CHADEMA MGUU NDANI MGUU NJE
CC:CHADEMA SPECIAL DIPLOMA
Kaiwekee mnara kama wa babelindio maana tunasema wajameni chadema ina wenyewe, ukikurupuka na kuvamia masuala nyeti lazima uangukie pua. udikteta ndio umeshamiri kama mtoa mada anavyosema. wanachama na hata wabunge hawako huru kutoa hoja mbadala au zenye kuleta criticism kwa uongozi. kiufupi hakuna demokrasia ndani ya chama. mfano mdogo tu, style aliyoingia nayo kiongozi mgombwa urais na akapata nafasi ya kugombea huku akiwaacha wakongwe wamebung'aa hawajui la kufanya. na ndio maana wakaamua kutimka bila kujua wanaelekea wapi. ni dhambi kubwa imefanyika.hayahaya yalimtokea Zito pale alipoanza kuhoji mafweza ya mapato na matumizi ndani ya chama. wakina Prof Kitila Mkumbo hivyo hivyo, Chacha Wangwe, Said Arfi na wengineo. hatutaisahau Chadema asilia
ndio maana tunasema wajameni chadema ina wenyewe, ukikurupuka na kuvamia masuala nyeti lazima uangukie pua. udikteta ndio umeshamiri kama mtoa mada anavyosema. wanachama na hata wabunge hawako huru kutoa hoja mbadala au zenye kuleta criticism kwa uongozi. kiufupi hakuna demokrasia ndani ya chama. mfano mdogo tu, style aliyoingia nayo kiongozi mgombwa urais na akapata nafasi ya kugombea huku akiwaacha wakongwe wamebung'aa hawajui la kufanya. na ndio maana wakaamua kutimka bila kujua wanaelekea wapi. ni dhambi kubwa imefanyika.hayahaya yalimtokea Zito pale alipoanza kuhoji mafweza ya mapato na matumizi ndani ya chama. wakina Prof Kitila Mkumbo hivyo hivyo, Chacha Wangwe, Said Arfi na wengineo. hatutaisahau Chadema asilia
Hata kumsusia NS ni matokeo ya udikteta. Kutoka ukumbini mpaka nje kwa wanahabari na kutoa tamko na wapambe kufuata kibubusa.Baada ya utamaduni wa kuongozwa na fikra na muhemko wa 'kidikteta' wa mtu mmoja kuwa ndio utamaduni pendwa ndani ya Chadema basi nichukue fursa hii kuwashauri jambo hasa hasa mwenyekiti Mbowe.