Tuombe Mungu. Tarehe 6 inaweza kuleta...................Leo ni tarehe 1 November 2026, tunamshukuru Mungu kutufikisha salama mwezi tuliousubiri muda mrefu.
Msikubali kutengeneza msafara Wala tukio lolote la kukusanya umati wa watu kuandamana kuelekea ofisi za chama au mkutanoni kuhutubia akiachiwa huru.
Lissu anabeba matumaini ya wengi nchini, hivyo usalama wake ni jambo la muhimu sana. Akitoka gerezani tafadhali mchukueni mkamuweke mahali salama Hadi mtakapoona inafaa , mnajua vyema Mambo haya.
Msipuuze tafadhali,Kuna ndoto mbaya inatatiza, tafadhali Heche
Wewe unaandika haya kama nani. Umetumwa na hao hao waovu?Leo ni tarehe 1 November 2026, tunamshukuru Mungu kutufikisha salama mwezi tuliousubiri muda mrefu.
Msikubali kutengeneza msafara Wala tukio lolote la kukusanya umati wa watu kuandamana kuelekea ofisi za chama au mkutanoni kuhutubia akiachiwa huru.
Lissu anabeba matumaini ya wengi nchini, hivyo usalama wake ni jambo la muhimu sana. Akitoka gerezani tafadhali mchukueni mkamuweke mahali salama Hadi mtakapoona inafaa , mnajua vyema Mambo haya.
Msipuuze tafadhali,Kuna ndoto mbaya inatatiza, tafadhali Heche
Unahitaji koneksheni ya jinsi unavyoweza kwenda kufaidi huko magereza?Chadema tatizo huwa wanalewa sifa alafu wanapendwa umwamba sana Lissu magereza kwake ni salama kuliko uraiani sometimes
Mkuu hujawahi kwenda magereza usiombe ilo mkuu. Na kamwe usimwombee binadamu mwezio kwenda kule kama sehemu salama kwake. Kule wanaenda kufundishwa adabu na sio kupumzika mkuu. Waza mara mbili angekiwa baba yako ungesema aendelee kukaa gerezani sababu ni salama kwake?? Akae huko mpaka lini? Waza tuChadema tatizo huwa wanalewa sifa alafu wanapendwa umwamba sana Lissu magereza kwake ni salama kuliko uraiani sometimes
nonsense 🐒Leo ni tarehe 1 November 2026, tunamshukuru Mungu kutufikisha salama mwezi tuliousubiri muda mrefu.
Msikubali kutengeneza msafara Wala tukio lolote la kukusanya umati wa watu kuandamana kuelekea ofisi za chama au mkutanoni kuhutubia akiachiwa huru.
Lissu anabeba matumaini ya wengi nchini, hivyo usalama wake ni jambo la muhimu sana. Akitoka gerezani tafadhali mchukueni mkamuweke mahali salama Hadi mtakapoona inafaa , mnajua vyema Mambo haya.
Msipuuze tafadhali,Kuna ndoto mbaya inatatiza, tafadhali Heche
Mungu yu pamoja na Lissu
Nani kakwambia anaachiwa? Huyo ni kunyongwa hadi kufa!Leo ni tarehe 1 November 2026, tunamshukuru Mungu kutufikisha salama mwezi tuliousubiri muda mrefu.
Msikubali kutengeneza msafara Wala tukio lolote la kukusanya umati wa watu kuandamana kuelekea ofisi za chama au mkutanoni kuhutubia akiachiwa huru.
Lissu anabeba matumaini ya wengi nchini, hivyo usalama wake ni jambo la muhimu sana. Akitoka gerezani tafadhali mchukueni mkamuweke mahali salama Hadi mtakapoona inafaa , mnajua vyema Mambo haya.
Msipuuze tafadhali,Kuna ndoto mbaya inatatiza, tafadhali Heche
Kwamba unifafanulie jinsi nilivyo bwege!Wewe unaandika haya kama nani. Umetumwa na hao hao waovu?
Au hadi nikufafanulie ndipo uelewe ni jinsi gani ulivyo bwege kabisa.
Aisee hivi wewe nae ni jiniaz eeh?Chadema tatizo huwa wanalewa sifa alafu wanapendwa umwamba sana Lissu magereza kwake ni salama kuliko uraiani sometimes
kesi ya uchochezi inaisha lini?kwamba anaweza achiwa alfu akakamatwa tena kwa kudhua taharuki
Si lazima Kila mtu aelewe,Nguvu kubwa inatumika kuwakatisha tamaa Watanzania na nia moja wapo ni kupunguza idadi ya watu watakaopata shauku pale atakapoachiwa huru.
Lema anafanya kazi hiyo kwa nafasi yake kwa kuibua mgogoro, naona na wewe unafanya kwa nafasi yako kwa kusambaza hofu.
Moja ya kitu kitakachomkatisha tamaa Lissu ni iwapo ataachiwa huru halafu nje akute hamna watu. Hiki ni kitu ambacho watesi wake wanaombea na wanafanya juhudi kubwa kitokee.