Empty containers Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,029
- 3,851
Watu weusi kweli sio binadamu kamili Mfano ni wewe hapo chadema imekufa alafu chama ambacho kwa akili yako hakijafa kinaogopa kuweka uwanja sawa kupambana na chama ambacho kimekufa Wekeni reforms kwenye tume tuone kweli chadema imekufa. Chadema ilizuiwa kufanya mikutano kila mwenyekiti wao yuko jela hana hata mwaka tangia amechaguliwa alafu unasema chama kimekufa au wewe ndo umekufa kama hata izi habari huna unaweza kua umekufa unatembeaHongera Sana CHADEMA na pia poleni Sana na changamoto mnazopitia .
Mimi kama mwananchi, nimeona niwape ushauri ambao unaweza kuwapeleka nchi ya ahadi ikulu .
Kwa hapa mlipofika mmekwama kisiasa ,mnabidi kukubali ukweli huu.
Nini mnabidi kufanya ?
Tengenezeni kizazi kipya ambacho kitakuwa na ari ya kupambana dhidi ya Ccm .
Kwa viongozi mlionao sasa kuanzia Bavicha mpaka Bazecha wote hawana mbinu mbadala za kupambana na Ccm.
Wekezezi kusambaza Falsafa , utikadi kwa vijana wadogo kuanzia 18 yrs.
Hii ndo mbinu bora ila msitegemee kuitoa Ccm madarakani kwa siasa zenu za kuvamia ajenda.
Mfano mwaka 2005 , mwaka 2025 unaona hizi ni Chadema mbili tofauti.
Pia Lissu asaidiwe sana namuona ametawalaiwa na mihamko mingi.
Msisahau kupambana na Ccm unakuwa unapambana na Dola. Akili mpya zenye uthubutu ndo zitawasaidia .
Ona Leo mlivyokosa Focus watu walewale waliowahujumu na kuwanyima partial democracy ndo mnawafanya Kama mabingwa wa mchezo n.k
Sasa unategemea ccmWatu weusi kweli sio binadamu kamili Mfano ni wewe hapo chadema imekufa alafu chama ambacho kwa akili yako hakijafa kinaogopa kuweka uwanja sawa kupambana na chama ambacho kimekufa Wekeni reforms kwenye tume tuone kweli chadema imekufa. Chadema ilizuiwa kufanya mikutano kila mwenyekiti wao yuko jela hana hata mwaka tangia amechaguliwa alafu unasema chama kimekufa au wewe ndo umekufa kama hata izi habari huna unaweza kua umekufa unatembea
Ile mkutano ya kusema kwann hawatagimbea haikuwa mikakati. Na kwann lisu awekwe kolokoloni na athari za hilo jambo kwasasa huwezi ona Kwa akilizako hizoSasa unategemea ccm
Wakupe reform? Bila kutumia mikakati ?
Mbona mnateseka sana tumewaachieni muendeshe hilo igizo lenu mjifurajishe sasa mayowe ya nini tena.Hongera Sana CHADEMA na pia poleni Sana na changamoto mnazopitia .
Mimi kama mwananchi, nimeona niwape ushauri ambao unaweza kuwapeleka nchi ya ahadi ikulu .
Kwa hapa mlipofika mmekwama kisiasa ,mnabidi kukubali ukweli huu.
Nini mnabidi kufanya ?
Tengenezeni kizazi kipya ambacho kitakuwa na ari ya kupambana dhidi ya Ccm .
Kwa viongozi mlionao sasa kuanzia Bavicha mpaka Bazecha wote hawana mbinu mbadala za kupambana na Ccm.
Wekezezi kusambaza Falsafa , utikadi kwa vijana wadogo kuanzia 18 yrs.
Hii ndo mbinu bora ila msitegemee kuitoa Ccm madarakani kwa siasa zenu za kuvamia ajenda.
Mfano mwaka 2005 , mwaka 2025 unaona hizi ni Chadema mbili tofauti.
Pia Lissu asaidiwe sana namuona ametawalaiwa na mihamko mingi.
Msisahau kupambana na Ccm unakuwa unapambana na Dola. Akili mpya zenye uthubutu ndo zitawasaidia .
Ona Leo mlivyokosa Focus watu walewale waliowahujumu na kuwanyima partial democracy ndo mnawafanya Kama mabingwa wa mchezo n.k
Kazin kwa mange kimambi kuna KAZI sasa hivi
Hayo yote uliyowashauri wakufanyie wakati huo wewe umejipumzisha unakunywa tu mbege?Jiunge nao uongeze nguvu.Hongera Sana CHADEMA na pia poleni Sana na changamoto mnazopitia .
Mimi kama mwananchi, nimeona niwape ushauri ambao unaweza kuwapeleka nchi ya ahadi ikulu .
Kwa hapa mlipofika mmekwama kisiasa ,mnabidi kukubali ukweli huu.
Nini mnabidi kufanya ?
Tengenezeni kizazi kipya ambacho kitakuwa na ari ya kupambana dhidi ya Ccm .
Kwa viongozi mlionao sasa kuanzia Bavicha mpaka Bazecha wote hawana mbinu mbadala za kupambana na Ccm.
Wekezezi kusambaza Falsafa , utikadi kwa vijana wadogo kuanzia 18 yrs.
Hii ndo mbinu bora ila msitegemee kuitoa Ccm madarakani kwa siasa zenu za kuvamia ajenda.
Mfano mwaka 2005 , mwaka 2025 unaona hizi ni Chadema mbili tofauti.
Pia Lissu asaidiwe sana namuona ametawalaiwa na mihamko mingi.
Msisahau kupambana na Ccm unakuwa unapambana na Dola. Akili mpya zenye uthubutu ndo zitawasaidia .
Ona Leo mlivyokosa Focus watu walewale waliowahujumu na kuwanyima partial democracy ndo mnawafanya Kama mabingwa wa mchezo n.k
Hii mashine ni kiboko mama Dully akiona hii sura tu lazima avute mchupa wake wa K Vant ajizime data.
Video zake huwa napunguza sautiHii mashine ni kiboko mama Dully akiona hii sura tu lazima avute mchupa wake wa K Vant ajizime data.
Mimi naweka earphone kabisa maana mashine inatema madini siyo ya sayari hii.Video zake huwa napunguza sauti
Kwa mkakati unaowapa CHADEMA na wewe ungekuwa unatembelea kliniki na ungetoa angalau ahadi ya kuzaa mtoto na hivi leo ungejitahidi kubeba mimba tena mapacha Hussein na Hassan.Sasa unategemea ccm
Wakupe reform? Bila kutumia mikakati ?
Kwa mkakati unaowapa CHADEMA na wewe ungekuwa unatembelea kliniki na ungetoa angalau ahadi ya kuzaa mtoto na hivi leo ungejitahidi kubeba mimba tena mapacha Hussein na Hassan.