Ushauri kwa Bodi ya Mikopo (HESLB), fanyeni hivi!!

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
543
Bodi ya Mikopo pelekeni mapendekezo Serikalini kuwa kila Mwanafunzi wa Elimu ya juu anayepata Udahili katika Chuo chochote apatiwe mkopo na iwekwe utaratibu wa kuwaajiri ili waweze kulipa mikopo hiyo.Hii inawezekana ni maamuzi tu.Wana JF mnaonaje hii?
 
Ofcoz,ts good idea..lakn co wazo geni bcoz serikali ilishaga shauriwa kufanya hvo,yenyewe ikapuuza.
 
Bodi ya Mikopo pelekeni mapendekezo Serikalini kuwa kila Mwanafunzi wa Elimu ya juu anayepata Udahili katika Chuo chochote apatiwe mkopo na iwekwe utaratibu wa kuwaajiri ili waweze kulipa mikopo hiyo.Hii inawezekana ni maamuzi tu.Wana JF mnaonaje hii?
mkuu hapo kwenye red pana utata sana
 
Bodi ya mikopo ilitoa nafasi ya miezi sita ya watu kutoa maoni ulikuwa wapi kipindi chote hicho?
 
Walimwambia nani? Na kunapost moja aliwahi kuitoa mwanaJF mwenzetu kwamba waliishauri serikali lakini mawazo ya walowengi hayakufanyiwa kazi. Zaidi waliamka wakaamua ya kufanya ndo hayo yanayotuletea matatizo tuliowengi hapa nchini.
 
Mimi sioni kama kwenye swala zima la kukusanya hizo hela kuna tatizo au vp, kwa mtizamo wangu mimi naona sisi kama wadau wa elimu tuweze kuishauri serikali yetu iweze kutumia vizuri rasimali zetu hata kwa maandamano ya nchi nzima ili pesa amabazo hawa jamaa wanajichukulia ziweze kutumika kuawakopesha watu, na kusiwe na mashariti ya kukopa.

Kwa kifupi nchi yetu ni tajiri sana na ina uwezo wa kusomesha wananchi wake bure mwanzo mwisho, sema shida ni kwamba chama kinachotuongoza sio chenyewew
 
Bodi/serikali haisikilizi ushauri wa watu..tume iloundwa kupokea maoni early this year tumeipa maoni mengi ya muhimu lakini yenyewe ikaona sisi wapuuzi na kuja na utaratibu mpya kutuma pesa kupitia mavyuoni..matokeo yake watu wanazidi kuhangaika mfano,chuo hakikupi mkopo mpk ujisajili hata kama continuing wakati wewe huo huo mkopo ndo unautaka ili ulipe usajiliwe!
 
Wewe unataka shughuli nyingine zisimame. Bodi inafanya kazi vizuri.
 
Wewe unataka shughuli nyingine zisimame. Bodi inafanya kazi vizuri.

sawa kaka wasaidie najua kuna 10% unapewa kwa upotoshaji wako. Subiria siku ya kuwachoma moto ofisini kwao ukawasaidiee. Nicheki mbele hapo.
 
Bodi ya mikopo haishauriki,ni taasis ambayo imeshafail ktk suala zima la utendaji yet Serikali imefumba macho as if nothing is going on, vyuo vyenyewe Tz havifiki hata 80 yet wameshindwa kuadminister database zao ili kusiwe na matatizo, f***** ******
 
Back
Top Bottom