Ushauri kwa ambao hawajaoa au kuolewa

Ushauri kwa ambao hawajaoa au kuolewa

Kupata mke/mme mwema iko mikononi mwa mtafutaji na mazingira anayotumia kumtafuta muhusika,tusimchoshe Mungu kwa uzembe wetu.
 
Kwahiyo wote walioomba kabla ya kuoa au kuolewa wamefanikiwa?nashindwa kuuelewa msingi wa ulichojaribu kukimaanisha,ila kiufupi maisha hayapo hivyo mkuu,sio kila mtu anategemea hayo ma`DINI...
 
Kwahiyo wote walioomba kabla ya kuoa au kuolewa wamefanikiwa?nashindwa kuuelewa msingi wa ulichojaribu kukimaanisha,ila kiufupi maisha hayapo hivyo mkuu,sio kila mtu anategemea hayo ma`DINI...
Kwa kifupi nikwamba mada haikuhusu ndio maana umeshindwa kuelewa. Tusianze kufundishana maisha kwa maana hatutafika mwisho.
 
Kwa kifupi nikwamba mada haikuhusu ndio maana umeshindwa kuelewa. Tusianze kufundishana maisha kwa maana hatutafika mwisho, kwa maana mambo ni mengi na muda ni mchache.
Mkuu hauna jipya!
 
Hauna jeuri ya kumshauri yeyote kuhusu ndoa,unapaka rangi upepo!
keep calm!
Sijaongelea Ndoa, Next time kabla ya ku-comment soma vizuri mada husika alafu uje na alternative, sio unakuja na comment ambazo hazina faida.
 
Back
Top Bottom