Ushauri kwa aliesoma CBG na kukosa D mbili

Ushauri kwa aliesoma CBG na kukosa D mbili

Apa mchawi physics mkuu....bila io afya ni ngum kupata
Anaweza akaingia kwenye NMT NURSING MIDWIFE TECHNICIAN) kuanzia chet au dp kama skosei kuanzia 2014 September walianza kuchukua hao watu ,ambao physics walipata e o level ,mkuu.
Ahsanthe
 
Muccobs ama mocu hamna diploma ya daf ila kuna dcma sawasawa na na hiy daf cz unasoma accounts...management na cooperative...degree ya dcma ni Bacma ambapo unakuwa muhasibu wa vyama vya ushirika mbalmbal...pia degree kuna BAAf hapa ndio penyewe kama wataka kuwa accountant ni program nzuri...ukimaliza ndio utapiga exams za board km cpa,acca n.k
Watu wa finance si wapo wengi sana, lakini afya bado wako in demand bra, mfano interviews za mabenk na tra duh mkuu, labda ufafanie dip zaidi
 
Unaweza pata NMT nurse midwife technician ,,kuanzia chet au dp mana nakumbuka ka skosei kuanzia 2014 September watu walianza kuchukuliwa wengne wakiwa na physics E kwa matokeo ya o level ndg.
 
Muccobs ama mocu hamna diploma ya daf ila kuna dcma sawasawa na na hiy daf cz unasoma accounts...management na cooperative...degree ya dcma ni Bacma ambapo unakuwa muhasibu wa vyama vya ushirika mbalmbal...pia degree kuna BAAf hapa ndio penyewe kama wataka kuwa accountant ni program nzuri...ukimaliza ndio utapiga exams za board km cpa,acca n.k
Ni katika kumfahamisha hata mzume anaweza nenda soma popote pale ila aachane na mambo ya local government
 
Omba hyohyo kozi za mifugo.. ila nadhani umechelewa dealine ishapita
 
Anaweza akaingia kwenye NMT NURSING MIDWIFE TECHNICIAN) kuanzia chet au dp kama skosei kuanzia 2014 September walianza kuchukua hao watu ,ambao physics walipata e o level ,mkuu.
Ahsanthe
Are you sure nilipata GPA ya 1.4
Civic E
Geog E
Kisw D
Engli C
Histo C
Phys E
Chem C
Biolog B
Mathe F
Niliomba medical lab mzee lakini kilichonitokea nikusomea community health
Now nipo kitaa na GPA ya dalaja la kwanza but hakuna ajira zetu nafikir kwenda kulima tu mwaka huu
 
Yeah!!!full sure !!!Mr mim ndo nakwambia mkuu ,,bas ulipatwa bahat mbaya tuuu Ila ungeomba NMT UNGEPATA NURSNG NIMESOMA NA WATU TUMEINGIAAA NAO WOTE
 
Yeah!!!full sure !!!Mr mim ndo nakwambia mkuu ,,bas ulipatwa bahat mbaya tuuu Ila ungeomba NMT UNGEPATA NURSNG NIMESOMA NA WATU TUMEINGIAAA NAO WOTE
Dah niliomba lab wakanipga chin ila phs nnlikuwa na E
 
Achana na kwenda kuishi vijijini wewe huko halmashauri utakakoajiriwa.
Hebu kapige diploma ya DAF pale muccobs Moshi kisha upige BAF baade unakaa unachapa CPA au CPB kiulainiii unakalia kiyoyozi na unaachana na kuchezea makohozi ya tb.
Nilisoma CBG nikapiga dp nasasa namiliki degree ya finance.
Tz hakuna sayansi kijana
alie kwambia daktari anachezea makohozi nani kijana...
 
Habari zenu wana jf... Nimesoma CBG na kupata Chemistry S, biology E, Geography E nimeapply diploma ya kozi za afya nacte hawajanichagua coz physics O level Nina E nataka niapply za kilimo na ufugaji ushauri wenu wakuu kozi ipi ipo vizuri

Asanteni
OMBA UALIMU WA SEKONDARI KIJANA MUDA BADO UNAO DIRISHA DOGO LINAFUNGWA... UKICHELEWA UTASUBIRI MWAKANI KAMA DIEGO COSTA
 
Unaweza pata NMT nurse midwife technician ,,kuanzia chet au dp mana nakumbuka ka skosei kuanzia 2014 September watu walianza kuchukuliwa wengne wakiwa na physics E kwa matokeo ya o level ndg.
Kumbe ndy maana ya NMT
 
Back
Top Bottom