Ushauri kwa aliesoma CBG na kukosa D mbili

Kalemataka

Member
Aug 19, 2017
48
10
Habari zenu wana jf... Nimesoma CBG na kupata Chemistry S, biology E, Geography E nimeapply diploma ya kozi za afya nacte hawajanichagua coz physics O level Nina E nataka niapply za kilimo na ufugaji ushauri wenu wakuu kozi ipi ipo vizuri

Asanteni
 
Omba mkuu hutojutia,tena fanya haraka.
 
Habari zenu wana jf... Nimesoma CBG na kupata Chemistry S, biology E, Geography E nimeapply diploma ya kozi za afya nacte hawajanichagua coz physics O level Nina E nataka niapply za kilimo na ufugaji ushauri wenu wakuu kozi ipi ipo vizuri

Asanteni
Hii condition imewapata wengi sana aseeee cha msingi hapo wewe komaa na hali yako tuu
 
Achana na kwenda kuishi vijijini wewe huko halmashauri utakakoajiriwa.
Hebu kapige diploma ya DAF pale muccobs Moshi kisha upige BAF baade unakaa unachapa CPA au CPB kiulainiii unakalia kiyoyozi na unaachana na kuchezea makohozi ya tb.
Nilisoma CBG nikapiga dp nasasa namiliki degree ya finance.
Tz hakuna sayansi kijana
 
[HASHTAG]#nmekuelewa[/HASHTAG] mkuu.... Kweli vijana tuache mawazo mgando kua sector ya mafanikio ni afya2 vipo vingi ya muhimu ambavo MTU akisoma anaweza fanikiwa sawa na watalaam wa afya
 
Achana na kwenda kuishi vijijini wewe huko halmashauri utakakoajiriwa.
Hebu kapige diploma ya DAF pale muccobs Moshi kisha upige BAF baade unakaa unachapa CPA au CPB kiulainiii unakalia kiyoyozi na unaachana na kuchezea makohozi ya tb.
Nilisoma CBG nikapiga dp nasasa namiliki degree ya finance.
Tz hakuna sayansi kijana
Mkuu izo daf, baf ni nini izo
 
Muccobs ama mocu hamna diploma ya daf ila kuna dcma sawasawa na na hiy daf cz unasoma accounts...management na cooperative...degree ya dcma ni Bacma ambapo unakuwa muhasibu wa vyama vya ushirika mbalmbal...pia degree kuna BAAf hapa ndio penyewe kama wataka kuwa accountant ni program nzuri...ukimaliza ndio utapiga exams za board km cpa,acca n.k
 
Back
Top Bottom