Inaweza kua STI especially Gonorrhea nenda hospitalHuwa ninatokwa na usaa kwenye uume na kusikia maumivu wakati wa kukojoa.
Naombeni ushauri unitumie dawa gani ili nipone?

Mzee mkuu pia nenda na demu wako au mkeo mkajitibie wote maana ukpona pke yako bado tatzo halitoisha.