Habari wadau,
Kama title inavyojieleza nahitaji mnieleweshe, hivi inawezekana mwanaume let's say kazoea kwenda ofisi flan na inawasichana zaidi
ya 7, akamtokea mmoja then baada ya kugundua anachunwa, akamtokea mwingine, na kumwambia kuwa eti alimpenda kabla ya
yule wa kwanza, na kabla ya kumtokea wa 2, alikuwa hampi hata salamu.
Inawezekana kweli akampenda mtu aliyekuwa hata hamsalimii?