Mwananjengo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 317
- 101
Nina mahusiano na dada mmoja na nlitegemea awe mke wangu hapo baadae.
Huyu dada ana mtoto na jamaa mwingine na alivyoniambia na kwamba hawana mahusiano tena na baba mwenye mtoto nkakubali ntamuoa.
Cha kunitia wasiwasi ni ukaribu uliopo kati yake na familia ya huyo baba mwenye mtoto,yani wako karibu kiasi kwamba mtoto anaenda kulala huko.
Huu ukaribu unanipa wasiwasi kama kweli waliachana au ni kunidanganya tu.Je baadae si utaleta shida kwenye familia yetu.Waungwana hebu naombeni ushauri wenu.