Unauza kaole ?kiwanja kimepimwa boss?unauzaje na kina ukubwa gani?kaole karibu na beach au ?Afu umenishauri kwa ajili ya mahitaji yako binafsi sio ?Maana sasa wewe kwanini unataka kutoka kaole kwenda kiromo?nunua kaole mkuu niunge mm ninunue kiromo,maisha ni kusaidiana
Mkuu hata vilivyopimwa vina utapeli?Nataka kununua kwa hawa weny vikampuni vya kuuza viwanja instagrama kama abc,lado property nk.Sio kwa mtu binafsi .Na hao pia wana upigaji boss?Viwanja vilivyopimwa vya miradi ya kampuni navyo vina upigaji mkuu?Nisaidie hapo tafadhali.Kuhusu cha beach amesema kiko kaole .Metre 500 from beach.Sqm moja ni 12000Uwe muangalifu na matapeli mkuu. Bagamoyo hasa maeneo ya Kilomo, Zinga, Pande, Fukayose, Kidomole na kwengine unatapeliwa mchana kweupee tena mbele ya serikali za mtaa/vijiji.
Sina hakika na huko Kaole na hasa kama eneo husika lina title deed, labda inaweza ikawa rahisi kufatilia na kuhakiki.
Lakini kwa kiwanja cha beach chenye mita za mraba 1000 kwa 12mil jiridhishe mara mbilimbili uhalali wa muuzaji, uhalali wa hati na usahihi wa hati kama document hiyo ni ya mahali husika
Viwanja vilivyopimwa ni rahisi kufanya uhakiki. Tena kama vinauzwa na hizo kampuni za upimaji uhakika unaongezeka. Inamaana hapo ni kama hati hazijatolewa kwa maana ya kwamba unapolipia ndipo hati inakua processed ili ikitoka iwe kwa jina lako wewe ukiwa ndio mmiliki wa kwanzaMkuu hata vilivyopimwa vina utapeli?Nataka kununua kwa hawa weny vikampuni vya kuuza viwanja instagrama kama abc,lado property nk.Sio kwa mtu binafsi .Na hao pia wana upigaji boss?Viwanja vilivyopimwa vya miradi ya kampuni navyo vina upigaji mkuu?Nisaidie hapo tafadhali.Kuhusu cha beach amesema kiko kaole .Metre 500 from beach.Sqm moja ni 12000
nunua kaole mkuu niunge mm ninunue kiromo,maisha ni
Lete namba yako nikupigienunua kaole mkuu niunge mm ninunue kiromo,maisha ni kusaidiana