Eliud Bunju
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 375
- 707
Nimehamishiwa Chalinze kutoka Bagamoyo, lakini tayari nmejenga ila Bado sijamaliza finishing lkn familia yangu mke na mtoto mmoja wanaishi hapo na Mimi nachoka kurudi Bagamoyo kwenda na kurudi. Sitaki kupanga Chalinze maana najua utamu wa kuishi nyumbani kwako.
Nyumba tayari nimeweka umeme na maji, Bado finishing Tu tiles na rangi Pamoja na gypsum bodi.
Namshukuu Mungu Chalinze nimepata kiwanja kingine, nimeanza kutamani nipauze kule bagamoyo halafu pesa nitakayopata ninunue kiwanja bagamoyo nije huku Chalinze nijenge nyumba nyingine upya katika kiwanja hiki cha Chalinze kiwanja kiko sehemu nzuri sana kuna nguzo ya umeme na maji yapo karibu sana.
Naombeni ushauri wenu wakuu. Niuze kule Bagamoyo au nikomae nimalizie nipangishe. Nije kupanga huku Chalinze?