Ushauri kuitwa Pccb na World vision Program finance siku 1

MBWAMBOs

Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
23
Reaction score
1
Wadau nimeitwa interview mbili pccb accountant field na World vision Program finance& admn officer zote siku 1 tar 17 niende ipi ushauri plz
 
Cha msingi angalia wapi competition ni kubwa na interest yako ,pia maslahi yanahusika kaka coz world vision kuna more package compare tu pccb lakini kwa upande mwingine pccb ndo hivyo serikali job security ni kubwa
 
asante kaka kwa ushaur
 
Kwani Interview zote zimepangwa at the same time? Otherwise jaribu kunegotiate na mmoja ufanye jioni sana au asubuhi au siku nyingine. Tafuta sababu genuine ya kutunga. Nadhani WVT wanaweza kuwa flexible
 
Nakushauri uende PCCB world vision wana mazinguzi na wanaweza wakakupeleka vijijini
 
Usimdanganye mwenzio akadhani akipata kazi PCCB lazima apangiwe kazi Upanga.

Hao wanakwenda huko mawilayani kuongeza nguvu ku-deal na mchwa wanaotafuna fedha za halmashauri!
 
Kwani Interview zote zimepangwa at the same time? Otherwise jaribu kunegotiate na mmoja ufanye jioni sana au asubuhi au siku nyingine. Tafuta sababu genuine ya kutunga. Nadhani WVT wanaweza kuwa flexible

ziko mikoa tofaut dar na arusha kaka
 
Noma sana bana.
Hapo kaz kwel kwel.
Chagua 1 kusuka au kunyoa.
 
Cha msingi angalia wapi competition ni kubwa na interest yako ,pia maslahi yanahusika kaka coz world vision kuna more package compare tu pccb lakini kwa upande mwingine pccb ndo hivyo serikali job security ni kubwa

Kama yupo less competent, ajichimbie huko huko. WV inabidi umnyenyekee sana boss wako vinginevyo!!!!!!!!!!!!
 
Nenda world vision ukapige mpunga kijana.
 
Kama una ndoto ya kula pasipokutoa jasho basi nenda pccb, kule utakula sahani moja na district treasurers incase ukipelekwa vjjn!
ila kama upo career oriented plz plz nenda wvt ila uwe nondo coz working with an intl orgnxn isnt about balancing bank reconciliation statements only... bt is about being courageous, trustworth and atol going extra miles proving yourself dat your a right person to possess dat position!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom