Nimeweka hela kwa wakala nmb, mtandao ukaonyesha uko chini, akanirudishia hela nikasepa, baada ya lisaa napata sms NMB hela imeingia, wakala hatufahamiani, baadae ananipigia anasema ameangalia statement hela imetoka anataka nimrudishie kwa kumtumia maana niko mbali.
Naogopa naweza kumtumia labda NMB nao wakaitoa kwenye akaunti nikawa nimetoa mara mbili na mimi nipo mbali.
Na je nisipomrudhia na nmb wasikate, nitakuwa nimemuumiza
Nifanyeje?ushauri.
Naogopa naweza kumtumia labda NMB nao wakaitoa kwenye akaunti nikawa nimetoa mara mbili na mimi nipo mbali.
Na je nisipomrudhia na nmb wasikate, nitakuwa nimemuumiza
Nifanyeje?ushauri.