Ushauri kuhusu Subaru Forestar

Nimlete vp tena kaka mbona sikuelewi au unataka kumuoa , haaaaaa wewe umuwezi ana ghalama sana pia waukweliiiii

kumbe ni 'ghalama' tu !mimi nilidhani gharama,wewe mlete tukusaidie kumnunulia subaru kama hiyo hapo juu na mafuta ya mwaka mzima
 
kumbe ni 'ghalama' tu !mimi nilidhani gharama,wewe mlete tukusaidie kumnunulia subaru kama hiyo hapo juu na mafuta ya mwaka mzima
pumbavuuuu zako wewe hata bitto ya laki 6 hauna itaweza subaru mordel2013 we mbuzi kweli tambua vizuri kwa helaaaaa na mimi nipo usa river huku site njooo
 
pumbavuuuu zako wewe hata bitto ya laki 6 hauna itaweza subaru mordel2013 we mbuzi kweli tambua vizuri kwa helaaaaa na mimi nipo usa river huku site njooo

Punguza jazba wewe mbwiga mlete tukusaidie...unatishia na site ya uswazini huko Usariver,mvua ikinyesha ni bwawa tupu !we kweli ni mburula ....halafu inaonekana una mambo ya kizee mno>>
 
Punguza jazba wewe mbwiga mlete tukusaidie...unatishia na site ya uswazini huko Usariver,mvua ikinyesha ni bwawa tupu !we kweli ni mburula ....halafu inaonekana una mambo ya kizee mno>>
we unaonekana ni mtu kwanza negative thinker pili unaonekana ni mtu maskini sana infact sio zungumzi na watu wapuuzi kama wewe mnaofahamu jf ukubwani bahada ya kupata michina yenu njoo huku site uone vitu kipapa wewe!!! Unaweza ukakaa center ukawa na maisha ya kimaskini ni sawa na kukaa kijijini kwanza wenye pesa tunataka utulivu sio vulugu nenda monduli mtazame mzeemzima anakaa wapiii kima mweusi wewe
 
Kama una Land Cruiser V8, sidhani kama mafuta ya Subaru Forester yatakushinda.
 
kwan jf imepitisha sheria ya kila mtu kutaja mali zake au ni mbwembwe tu?
 
Ok boss nitumie picha ya hiyo gari ikiwa imepark kwako niione ilivyo
sasa hayo ndio maneno kumbe kuongea unajua ila usije ukawa jambazi kesho naenda arusha asubuhi na v8 langu nitakutumia nikiwa arusha sorry kijana
 
nina wasi wasi kama hapa lengo ni،kuomba ushauri!!!!!

ana V8 alaf anasema subaru forester inabwia mafuta, eh eh eh kumbe waelewa mmemuelewa vizuri lengo la mada hii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…