Ushauri kuhusu Subaru Forestar

Mnunulie tu, wenzio wanawanunulia chopa hao, atakwenda kwenye chopa, huoni wanavyo pigana vikumbo?
 
We jamaa unazingua ujue...hii kamba hata juha lazima akate.
 

Mbwembe Nyingiiii UNGESEMA TU MOJA KWA MOJA TU UNAOMBA USHAURI WA KUINUNUA HIYO GARI. ACHA KUZUNGUKA
 
Mnunulie tu!we si ndie ulienda kumchukua kwao alipokua analelewa na wazazi wake ukasema utaweza kumtunza?
 
Jamaa namkubali kwa kutunga Hadithi.
Yaani watu unawaona wote watoto humu.
Maada tuliosoma somo la Insha ni kwamba Maudhui ya Mada yasiingiliane,sasa hapo kuna mada kibaoo.Misifa Teleee.
 
Sasa hizo nyumba nne zinahusianaje na gari? Acha kutuletea Ushamba hapa jukwaani. Peleka kwenye glob za watoto wenzako
heeee kaka mara yameshakuwa hayooo matusi tena mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…