Ushauri kuhusu Subaru Forestar


Nimeshindwa kushangaa!!
 

Attachments

  • 1407513316818.jpg
    29.1 KB · Views: 611
you are not and you never being serious , mkeo n mshamba kiasi gani mpaka atake subaru. it seems like you dont know the really brands people do drive. nilitegemea angetaka 520i if you know what i mean
 

nina wasi wasi kama hapa lengo ni،kuomba ushauri!!!!!

unahisi lengo ni nini

kukamata nyumba ndogo zinazoshobokea wasifu

Hapa ngoja niwaite miss chagga, Madame B, Evelyn Salt wajaribu bahati yao.

Wanaweza bahatika kununuliwa treni au helikopta kama ya Ndesamburo ili kukabiliana na foleni za Daslam.
 
Last edited by a moderator:
nina wasi wasi kama hapa lengo ni،kuomba ushauri!!!!!

Teh teh yaani acha tu.....

wahaya bhana mmezidi mbwembwe.

Hizo ni mbwembwe na misifa!

Jasiri haachi asili....

Jamani jamani jamani....... Mwenzenu ana mihela lakini hataki kumnunulia mkewe gari inayokula mafuta sana...... Wife kasusa kusukuma RAV 4 isije ikamletea kansa ya makalio bureeee.

Nyie endeleeni tu kubanana kwenye vibajaji.
 
Wahaya bwana mtu una v8 miradi kibao halafu unahofia mafuta ambayo tofauti na hiyo rav 4 ni ndogo sana punguza kupenda misifa kwa mtu mwenye uwezo kama uliyemwongelea kwenye uzi wako hawezi kushindwa kumudu subaru
 
My LOVE yu a so intelijenti ndio maana nakupendaga. Biashara matangazo
Thank you very much my love. I love you sana.

Nikununulie bajaji nawe utese hapa Makambako?
 
Kumbe una V8 mweh ngoja wanakuja
 

Kama ni mchezaji basi nakufananisha na Gaucho wa kipindi kile, kwa jinsi ulivyowasilisha Thread yako kwa manjonjo kibaaaao!
 
kukamata nyumba ndogo zinazoshobokea wasifu

Maelezo yote aliyoyatoa mdau ni kama vile anajitangaza nini anacho,lakini huyu anaonekana amepata vijisenti anataka kununua gari lake la kwanza na anaomba ushauri ili amiliki hii subaru.Achana nalo kijana unayeanza maisha,litakufirisi kwa mafuta halafu very delicate ingawa mwendo linamudu.
 
Hongera mkuu kwa kututangazia mali zako...vp ile chopa yako bado inaruka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…