Rwaz
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,970
- 3,325
Asalaam aleikum. Najivunia jf lakin najivunia zaidi watanzania wana moyo wa kutoa ushauri inapobidi. Mambo ya mind your own bussiness si utamaduni wetu. Nimenufaika mno na ushauri ninaopataga jf.
Leo naomba ushauri wa kitaalam na kimazoea ukitaka kununua home theatre ya sony dz 950.
Je kuna bora zaid kwa uwiano wa bajet ya hii? (Mil 1.15).
Je kuna tofaut kubwa ya uzito/ubora wa mzik kwa za chini yake km dz650 na dz 350?
Je ina changamoto ya wazi?
Je kuhusu bei kuna chimbo la afadhar hapa dar?
Je kuna feki? Og unaitambuaje?
Watu wa tech na wazoefu wa hizi mambo naingojea huruma yenu. Bora kuuliza kabla hujakosea njia (due diligency) Nipunguze kujilaum