Manun'guniko
Senior Member
- Jul 23, 2014
- 155
- 59
Jamani tusherekehe vizuri eid tuepuke michepuko maana furaha ikizidi tunachepuka tafadhari tusichepuke. Ni ushauri tu kwa wote.
umechelewa mkuu... mi ndo narudi nyumbani sa hivi nimetoka kubadilisha radha!!! ila ni ushauri mzuri