Ushauri kuhusu mwanamke mkavu ukeni

Mi sio tabibu ila ushauri wa kiufundi.
Hapo mkuu jaribu kuwa anapiga deki sanaaa.Yan try even half an hour we piga deki kitaalam hakunaga ukavu wa namna hiyi mkuu niamini mimi
 


Tumia Saliva Bob!!!
 
Ale nyanya chungu ( Kanda ya ziwa wanaita nyanya ntole) anachoma kwenye jiko la mkaa moto usiwe mkali kisha anamenya Ganda anatupa ntole anakula kila wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…