hapo kwenye forester mbona umeguna,tatizo ni bei,spea au unywaji wa fuel?
Kamata tuktuk tu mwisho wa matatizo. Itaendana na kipato chako.
Ukiweka wese la buku 5 unazunguka round 4
Gari kwa sasa mafuta bei juu lt1=2000 ambapo kwa wiki utatumia mafuta si chini ya 80,000 pamoja na misele yako ya hapa na pale kwa mwezi piga hesabu hapo na kipato chako ni hiyo kilo 4 + na makato ya kwenye mkopo utajikuta unapokea take home chini ya laki 4 aangalia usije ukalipaki ukawa unatembelea week end tu kwa ajili ya maumivu ya mafuta.
thanks kwa ushauri .
jamani, me naona mnamtisha sana kuhusu wese. kama akinunua toyota permio 4A-FE engine ambayo ina cc 1587Kamata tuktuk tu mwisho wa matatizo. Itaendana na kipato chako.
Ukiweka wese la buku 5 unazunguka round 4
Gari kwa sasa mafuta bei juu lt1=2000 ambapo kwa wiki utatumia mafuta si chini ya 80,000 pamoja na misele yako ya hapa na pale kwa mwezi piga hesabu hapo na kipato chako ni hiyo kilo 4 + na makato ya kwenye mkopo utajikuta unapokea take home chini ya laki 4 aangalia usije ukalipaki ukawa unatembelea week end tu kwa ajili ya maumivu ya mafuta.
vipi bidada, ulikwisha fanikiwa huo mpango?Habari wanajf;
mimi ni mtumishi wa umma na kipato changu ni Tsh 400000/=(take home)
nataka kukopa mojawapo ya gari hizi forester/ suzuki escudo/corona premio.
Naomba ushauri kama kuna sehemu naweza kupata mkopo wa aina hiyo(achilia mbali kukopa fedha taslimu kutoka bank)
msaada jamani nshachoka kupanda dala dala.
Mwenzako anatumia pesa toka kwenye mshahara wa kununulia nguo, vipodozi na kwenda saloon. Hayo mambo mengine kuna mapipa na vidumu...bahati mbaya sidhani kama kuna banker atakaye kubali kukukata 80% kama loan repayment. The max they can go ni kati ya 40-60%. fanya uchunguzi kwanza, pia fikiria fuel, maintenace, kama utalaza ofisi ya chama-ulinzi, gharama zako mwenyewe za kuishi, etc
Daladala ni shida wazee, unyunyu wote unaisha ukitoka unanuka mchanganyiko wa pafyumu na vikwapa
me nakushauri uchukue ka-starlet ndugu yangu kanaserve the purpose, na hako kampunga kalivyo kaduchu utamudu tu.
SWALI KWA WANAJF: kati ya CAMI(TOYOTA) na TERRIOS(DAIHATSU) ipi bora coz naona zinafanana ila sijajua ki-maintenance na spares ziko vipi, naomba msaada wenu kabla sijaangukia pua.
habari wanajf;
mimi ni mtumishi wa umma na kipato changu ni tsh 400000/=(take home)