ASHE NANGINYII
Member
- Dec 30, 2015
- 15
- 6
Ninafanya kazi katika hoteli moja hapa Arusha kwa mwaka wa tatu sasa na sikuwahi kuwa na mkataba kwani tumekua tukizungushwa kwa miaka yote hiyo, sasa hivi ndio wanataka kutu sainisha bila ya malipo yoyote.
Je, kuna stahiki zozote napaswa kupewa kabla ya kusaign mkataba huo?
Je, kuna stahiki zozote napaswa kupewa kabla ya kusaign mkataba huo?