Introverted
Member
- Oct 25, 2022
- 14
- 19
initial capital nahitaji kufungua frame.
sehemu ya soko zuri ambalo naweza kuuza hizo bidhaa
chimbo la kununulia bidhaa hizo kwa hapa dar es salaam.
Kwa walio tayari kunisaidia karibuni sana ndugu zangu.sehemu ya kununulia bidhaa hizo( chimbo)
namna ya kuwafikia wateja
Unategemea kuuza pazia, mito,... mtaji kias gan ulionao?Habari ndugu zangu, mm kijana wa kiume(26) napatikana Dar es salam-kigamboni, hivi karibuni nmepata wazo la kufanya biashara tajwa hapo juu lakin katika kuandaa business plan yafuatayo nayataftia majibu na ninyi nimeona ni watu sahihi kuwauliza na kupata hayo aidha katika kupeana ushauri yafuatayo niyakuzingatia
○Kuhusu mtaji kiukweli nnao mdogo sana ila kwangu sio shaka maana nimejipanga kuanza kidogo kwanza.
○ naendelea kuandaa business plan maana naitazama kwa ukubwa biashara hii.
○ Ombi langu kwenu ni ushauri katika maeneo yafuatayo:
Kwa walio tayari kunisaidia karibuni sana ndugu zangu.
Ndiyo maana nmeweka mjadala nisaidiwe starting capital km unajua nisaidie nduguUnategemea kuuza pazia, mito,... mtaji kias gan ulionao?
Wewe una mtaji kias gan hapo ulipo?Ndiyo maana nmeweka mjadala nisaidiwe starting capital km unajua nisaidie ndugu
Laki 6Wewe una mtaji kias gan hapo ulipo?
Mtaji wako mdogo hasa. Hapo ununue sample uziweke dukani mtu akitaka analipia unaenda kumbebea kariakoo unampelekeaLaki 6
Mtaji inabidi niwe nawe angalau shilingi ngapiMtaji wako mdogo hasa. Hapo ununue sample uziweke dukani mtu akitaka analipia unaenda kumbebea kariakoo unampelekea
Mtaji inabidi niwe nawe angalau shilingi ngapi
Ww niambie kwa experience inabidi nianze na kiasi ganSi umesema una laki 6
Ww niambie kwa experience inabidi nianze na kiasi gan
Sina muongozo na ndiyo maana nimeomba msaada sijui chochote ndio nafanya researchUnategemea pazia moja kuuz kias gan
Sina muongozo na ndiyo maana nimeomba msaada sijui chochote ndio nafanya research
Wewe kabla hujafanya biashara inabidi ufanye utafiti wako mwenyewe. Kuna pazia za aina tofauti. Kuna pazia tunanunua set moja 38k na kuna za set mpaka 100k na kuendelea.Sina muongozo na ndiyo maana nimeomba msaada sijui chochote ndio nafanya research
Huyu inabidi anipigie tu nile consultation fee na hela yake ya kumpeleka chimboWewe kabla hujafanya biashara inabidi ufanye utafiti wako mwenyewe. Kuna pazia za aina tofauti. Kuna pazia tunanunua set moja 38k na kuna za set mpaka 100k na kuendelea.
Naona kama unataka ukirupuke, hujajipanga.
Au ni mvivu wa kufuatilia kitu unachotaka fanya.
Au ndio hiyo character ya introvert inakuzingua
Uko serious kweli we ndugu au unauthorised??? Laki sita carpet moja sh ngap??? Shuka sh ngap??? Huo mtaji fungua genge la nyanza na matundaLaki 6
Kwa nn acheki uzi huo na mwenyewe hapahapa nipo... na sina hela hapa.. anicheki inbox nimpe consultantcheck huu uzi ukupe mwanga
Nauza pazia, mashuka, foronya na taulo
Habari ya muda huu wakuu. Kwa majina naitwa Mr. Dwelnish ni sehem ya uendeshwaji wa duka letu jipya kabisa kariakoo la Dwelnish linalojihusisha na uuzaji wa mashuka,pazia, foronya, na taulo Kwa sasa. Duka lipo KARIAKOO MTAA WA AGGREY NA SIKUKUU. Uzi huu ni maalum Kwa akili ya kupata Updates na...www.jamiiforums.com
wabongo akiona neno consultant anaona ni mambo ya kizungu hayo, ache ajipasue mwenyeweKw
Kwa nn acheki uzi huo na mwenyewe hapahapa nipo... na sina hela hapa.. anicheki inbox nimpe consultant