ebwana wewe vumilia hapohapo tu maana sasahv kazi ni ngumu sana kuzipata, wengi walikuwa na ndoto za kuwa watu fulani maishani lakn ndoto zao ziliishia sehemu tofauti kabisa na malengo yao ingawa wanaishi na wana furaha, mkuu ng'ang'ana sehemu uliyopo na uwe unajiendeleza kielimu, ni hayo tu kiongozi.