NA MKUU JE UNAURUHUSIWA KUOMBA KOZI AINA MOJA KATIKA VYUO VYOTE VITANO
YAANI
UDSM-BAED
DUCE-BAED
SUZA-BAED
etc
msaada please
Japo unafanya jambo jema lkn kuna vitu basics huna uelewa navyo. Huyo mwenye DEE atakuaje na pt 4?! Wakati hapo anaonekana ana pt 3!?ndio umefaulu maadau umefikisha point 4.
samahani kuna post nimekose kukujibu kuna kitu nilikua sikifahamu.
sasa tuambie ulikua unapenda kusoma nini halafu tukupe ushauri ili uweze fanikiwa kuingia chuo husika
acha kuwa mvivu kijana yani kufungua website unashindwa na iko directly unataka uletewe kweli>tuletee link yake ap kwamb v hatuon
Huyo mkuu muongo. Guide book 2016/17 not yet released! Gonna be released soon!ok nmeshakupata
but ile iko muda sasa but ukifungua inaandika will be released soon as possible
so bado ndugu
yaani hyo bachelor of art with education naweza kuiomba katika vyuo vitatu tu .kwa sababu sihitaji kuchagua kozi nyingne yoyotendio inawezekama kabisa.
unaruhusiwa kuomba mara mbili chuo kimoja kwa kozi tofauti
unaruhusiwa kuomba sio chini ya vyuo vitatu kwenye idadi ya vyuo unavyoomba
unaruhusiwa kuomba si chini ya vyuo vitatu au zaidi ya vyuo vitano unavyoomba kwa ujumla.
natumai hapo umeelewa
mkuu wewe huwezi maana wanataka masomo mawili uwe na point 4Chem E BIOS E na geo D bam Nina F naomba ushauri nikasomee nn mie nshaurini bas
Acha uongo wewe. Guide book haipo kwa sasa!acha kuwa mvivu kijana yani kufungua website unashindwa na iko directly unataka uletewe kweli>
ok nashukuru kwan mashaka yangu yalikua yako hapon
Ndiyo
Usifanye hvyo mkuu. Maisha hayako hvyo hata siku moja! Badili mtazamo kuhusu hili wazo lako!yaani hyo bachelor of art with education naweza kuiomba katika vyuo vitatu tu .kwa sababu sihitaji kuchagua kozi nyingne yoyote
sawa mkuu naweza kubaliana na wewe labda wana ifanyia marekebisho kama wanavyofanyaga miaka iliyopita, ila ilishatoka kitambo now inafanyiwa maboresho siwezi wadanganya mimiHahahahaaa jeuri sana wewe, kule haipo nimeangalia sasa hivi.
Japo unafanya jambo jema lkn kuna vitu basics huna uelewa navyo. Huyo mwenye DEE atakuaje na pt 4?! Wakati hapo anaonekana ana pt 3!?
muache kama anapenda maana nni chaguo lake usimbadilishe mawazo ni vizuri usome kitu ambacho una kipenda toka moyoniHapana
Usifanye hvyo mkuu. Maisha hayako hvyo hata siku moja! Badili mtazamo kuhusu hili wazo lako!
wew si diploma ,mbona unajifanya mjuaj sanaHivi inamaana wengi wa wasomi wetu hawa waliohitimu kidato cha sita ni kweli hawajui ni nini wasome katika ngazi ya chuo kikuu ?
ni kweli mkuuAtakua hajaelewa hizo point zinakua calculated kwenye masomo mangapi, kwa kumsaidia tu ni kwenye masomo mawili kati ya matau yanayounda combination yako (BAM & GS hazihusiki)
Yeah. Unashangaa nn wakati ma profesa karibu wote wanafanya kazi za siasa. Sasa mentors watakuwa nani?! Wakati salim said bakhresa hana class na ana drive life atakavyo. Ndio tulivyo kama nchi!Hivi inamaana wengi wa wasomi wetu hawa waliohitimu kidato cha sita ni kweli hawajui ni nini wasome katika ngazi ya chuo kikuu ?
sawa mkuu naweza kubaliana na wewe labda wana ifanyia marekebisho kama wanavyofanyaga miaka iliyopita, ila ilishatoka kitambo now inafanyiwa maboresho siwezi wadanganya mimi
yaa nilikua na idea ya miaka ya nyuma mkuu nilipopitia website ya tcu ndo nikaona wanataka point 4 kwa masomo mawili kama minimumJapo unafanya jambo jema lkn kuna vitu basics huna uelewa navyo. Huyo mwenye DEE atakuaje na pt 4?! Wakati hapo anaonekana ana pt 3!?
cut off point anzia jeramba diploma mkuuChem E BIOS E na geo D bam Nina F naomba ushauri nikasomee nn mie nshaurini bas