Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Nashukuru sana kaka, siku njema!
 
Kama chuo gani
Mana mm kwetu ndio mtoto wa kwqnza alafu wazazi wangu hawakusoma mpaka level za juu ila kwa uwezo wa kipesa tunao mungu anasaidia sasa hebu nishauri jinsi ya kuapply kwenye hcho chuo unachosema please....
Unaweza nisaidia kwa njia ya whatsapp
No. 0672191555

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
mimi nimepata DIVISION TWO YA POINT 10
ENG D
HISTORY C
KISWAHIL C
GS E
HKL
JE NITAPATA UDSM KWA KOZI YA BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION?
NAOMBA MNISAIDIE
 
Mkuu Kwani Kichwa Cha Habari si Kiko Hivi "Ushauri Kuhusu Ku apply Vyuo Vikuu 2016/2017".

Sasa Hujajua tu Kuwa Huu Uzi unawahusu Wale WaitList Wanaosubiri Kuingia Vyuo Viku?? au nawewe unataka kwenda Chuo?
Najua nyinyi ni wakubwa zangu nilipo mm mushapapita so sio vibaya kuwaomba ushauri
 
usijali ntakucheki kuwa na amnai hapa umefika. halafu ukituma namba za simu hakikisha unatumia mtu pm, usiziweke mtandaoni ni kubata sana.
nakushauri edit hiyo post au delete kabisa sio poa kwa usalama wako. uwe unampa mtu pm kabisa
 
mimi nimepata DIVISION TWO YA POINT 10
END D
HISTORY C
KISWAHIL C
GS E
JE NITAPATA UDSM KWA KOZI YA BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION?
NAOMBA MNISAIDIE
omba ndio utaweza pata kinachozingua ni ushindani tuu ila sidhani we unaingia
 
Chem E BIOS E na geo D bam Nina F naomba ushauri nikasomee nn mie nshaurini bas
 
omba ndio utaweza pata kinachozingua ni ushindani tuu ila sidhani we unaingia
NA MKUU JE UNAURUHUSIWA KUOMBA KOZI AINA MOJA KATIKA VYUO VYOTE VITANO
YAANI
UDSM-BAED
DUCE-BAED
SUZA-BAED
etc
msaada please
 
NA MKUU JE UNAURUHUSIWA KUOMBA KOZI AINA MOJA KATIKA VYUO VYOTE VITANO
YAANI
UDSM-BAED
DUCE-BAED
SUZA-BAED
etc
msaada please
ndio inawezekama kabisa.
unaruhusiwa kuomba mara mbili chuo kimoja kwa kozi tofauti
unaruhusiwa kuomba sio chini ya vyuo vitatu kwenye idadi ya vyuo unavyoomba
unaruhusiwa kuomba si chini ya vyuo vitatu au zaidi ya vyuo vitano unavyoomba kwa ujumla.
natumai hapo umeelewa
 
Mkuu na mimi mwenye E,D,D toka CBG kozi gani itanifaa?
horticulture, medical labaratory ila kwa vyuo vya private. education, IT ,nutrition ipo sua, forestry, food processing, na zile za kilimo. sasa sema ulikua unataka kuwa nani?
 
ingia www.tcu.go.tz halafu angalia upande wa announcement na matangazo kwa ujumla utaona habari imeandikwa admission book for student 2016/2017 click i download ndo yenyewe
ok nmeshakupata
but ile iko muda sasa but ukifungua inaandika will be released soon as possible
so bado ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ