Ni vizuri kutumia kitu ambacho una hakika nacho kuliko kufanya majaribio kwa hatari kama hiyo. Kama unazijua PEP ilibidi uende kituo kingine cha afya ili upate PEP na maisha yasonge.
Binafsi nimetumia PEP mara mbili, naziaminia. Mara ya kwanza nilipiga dry, mara ya pili nilijikata kwenye mlango wa daladala.