Ushauri kuhusu kazi

buyoya419

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
555
416
Hellow mimi ni kijana tu ambaye soon naanza kujitegemea mwenyewe

Nimepambana kwenye kazi kuhusu pesa nimefanikiwa kupata kama laki 2 hv

So lengo langu kwa washauri wazuri naomba mnipe ushauri mzuri kuhusu ni biashara gani nitakayofanya itakayoendesha maisha yangu milele

Nilishawahi kufanya biashara ya kuagiza headphone n.k kutoka china kuja tz ila wateja kuwapata ndio mtihani

Kazi za kuajiliwa ni mateso tu naona kazi kubwa pesa ndogo

Nikisubili ajira za serikali nitazeeka
 
If your Ego is not enemy learn how to prepare good mishikaki then sell it.

If you look for high profit margin and creating royal clients then Fruits salady is best option.
 
If your Ego is not enemy learn how to prepare good mishikaki then sell it.

If you look for high profit margin and creating royal clients then Fruits salady is best option.
Mtu kaandika zake kwa kiswahili vizuri alaf unakuja kumfokea jaman
 
Mtu kaandika zake kwa kiswahili vizuri alaf unakuja kumfokea jaman
Ukiaubiri mtu mpaka akuongeleshe kiingereza ndio ujibu nafasi hiyo utaipata kwenye Interview tu Tz hii naukikutana nayo hiyo Interview jua imekula kwako

So practice Practice any where
 
Back
Top Bottom