Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,702
- 5,115
Nina bachelor degree in Gender and Development, nataka kwenda Dubai kutafuta maisha.
Ila ndoto zangu nataka kwenda nchi za kiarabu kama njia ya kwenda ulaya...
Hasa scandinavian countries, Sasa naomba kujua vyeti vyangu nibebe au niachane navyo!!
Mana nasikia kule elimu yetu Haina Thamani naombeni ushauri ndugu zangu.