Ushauri Kuhusu denda/romance

Umenitia kinyaa mkuu

Umuhimu wa french kissing sio hiyo mimate, ni kukutana kwa lips... Inatengeneza hormones fulani na kukufanya ufeel amazing
 
Uzuri kila mtu ana uhuru wa kufanya anachotaka kwa muda wake

Wewe kama utakuwa unachelewa ukidendeka . . .weka katika chupa kabisa
 
romance...si kunyonya mate wewe......ni lips na ulimi...mate yanahusika asilimia ndogo sana
 
Kuwa mstaarabu mkuu, mapenzi gani hayo ya kunywa mate ya mwenzako
Nasikitika sana mnavonipinga kama huwa hamnyonyi madenda kwa wapenzi wenu... Kwani mate na denda si kitu kile kile au ukinyonya yakiwa bado mdomon kwa mwenzio na ukiwekewa sehem nyingine unywe si kitu kile kile kama issue ni kunyonya basi waweza tumia hata mrija yakiwa kwenye kikombe na ukanyonya vile vile
 
Umenitia kinyaa mkuu

Umuhimu wa french kissing sio hiyo mimate, ni kukutana kwa lips... Inatengeneza hormones fulani na kukufanya ufeel amazing
Jaman ulisha wahi nyonywa lakini au kunyonywa yaan pale lazima uvute mate ya mwenzako... Sasa mm nmetoa kama ushauri tu ili kuokoa mda kwann msiyaweke chomboni tu!
 
Hii post naweza nika iita ngumu kumeza kwa sabab watu tunakimbia kivuli chetu yaan tunajua tunafanya ila kukubali kuwa ikifanyika kwa njia nyingine ambapo content inabak ile kwa maana mate ni yale yale watu hamtakk kukubali...
 
Jaman ulisha wahi nyonywa lakini au kunyonywa yaan pale lazima uvute mate ya mwenzako... Sasa mm nmetoa kama ushauri tu ili kuokoa mda kwann msiyaweke chomboni tu!
Hujalazi!ishwa kufanya hivyo... Kama wewe mshamba na kuona ni bugudha acha basi ...
 
Naona unapenda sana...kanunue SIMTANK kabisa
 
Duh! Kweli Mapenzi Uchafu, Wewe Kunywa hayo mate kadri ya uwezo wako!
 
Akili za usiku
 
Utakuwa umelogwa wewe si bure
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…