Muulize anapenda nini?kisha akasome ila sio mbaya kumpa muongozo mzuri.Habarini wana jamvi,
Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne na kwa masomo ya science kafaulu kwa wastani wa C.
Je, ni course gani nzuri anaweza kusoma ambayo uhitaji wake ni mkubwa kwa sasa?