mdogo wangu anasoma hiyo kozi SUA kwa sasa ndo anamaliza,,,,maenoe ambayo anafanyi field ni maabara,,,,mfano field yake ya mwaka wa 1 na 2 amefanyia IFAKARA HEALTH INSTITUTE ya kilombero,na mwaka huu special project yake amefanya tafiti ya mdudu wa taifod,pia aliomba field ya mwaka wake wa mwisho hapo agakhan hospital,ifakara health institute na ocean road amepata agakhan,na ifakara health institute tawi la bwagamoyo,,,,kwa ujumla kila anapoenda field huniambia kuwa huwa yupo maabara zaidi,,,,na kazi zake anapaswa kufanyia viwandani,tbs,tfda na maeneo yenye maabara kama vile hospitalini,,,,,,sijui malipo maana hajaajiriwa