Amon Mtekateka
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 1,225
- 333
Nyiny ndio wanasayans sio hawa hgena sisi EGM ni science au art
Nyiny ndio wanasayans sio hawa hgena sisi EGM ni science au art
Art ni art tu.
Labda EGM ndio wangesema wanasayans japokua wamejumuishwa na wana art
sawaNyiny ndio wanasayans sio hawa hge
Social science... Sio pure science. Jua tofauti.Kuiita hge science ni dharau ya juu kabisa!!! Unasoma history alafu unasema ni science???? Uko timamu??
Mi nilodhani sayansi ni PCB, PCM, PGM na CBG tu? Huna chemistry wala physics hauko kwa science.Nyiny ndio wanasayans sio hawa hge