Ushauri kuhusiana na course

Ushauri kuhusiana na course

victor mbuya

Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
78
Reaction score
32
Shikamoo kwa wakubwa zangu na kwa wengine habari zenu jamani. Mimi ni kijana niliemaliza kidato cha sita mwaka huu mchepuo wa HGE na nikafanikiwa kupata division 1.8 (History B, Geography C and Economics C, Bam S GS S) sasa ninapata changamoto kwenye selection za course ,,nimekwishaselect bsc in agricultural and natural resources economics and business (UDSM) ,,bcom in accounts (UDSM) ,bsc in land management and valuation (ARDHI) ,,bsc in building economics (ARDHI) and lastly bsc economics-project planning and management (.mzumbe), naomben ushaur kwa hio selection ,,asante
 
Namba mbili toa then weka agriculture economics(agribussiness)ya SUA.
NI BALAA.
 
shkamoo kwa wakubwa zangu na kwa wengine habari zenu jamani,,mimi ni kijana niliemaliza kidato cha sita mwaka huu mchepuo wa HGE na nikafanikiwa kupata division 1.8 (History B,,,Geography C and Economics C ,,Bam S GS ,,S ) sasa ninapata changamoto kwenye selection za course ,,nimekwishaselect bsc in agricultural and natural resources economics and business (UDSM) ,,bcom in accounts (UDSM) ,bsc in land management and valuation (ARDHI) ,,bsc in building economics (ARDHI) and lastly bsc economics-project planning and management (.mzumbe), naomben ushaur kwa hio selection ,,asante
Hahah mbuyaaaaa hongera kijana umepga vzr...sorry coz cna cha kukushauri zaidi ya kukupongeza tu chalii Allah akupe utakacho
 
Kwa nini unasema ni balaa??tunaomba ufafanuzi
hyo agriculture ecnmcs ya UDSM ni copy tu.
Originality yak ni SUA.
na ulivoiweka ya UDSM ukujua unataka kua nani?
Zote ziko sawa ila ya SUA ni the best.
 
Back
Top Bottom