Ushauri kuhusi Rhesus factor (+-)

Umemaliza kabisa Mtaalamu wa Maabara. Big up!
 
Jf kuna maarifa mazuri sana,nilikuwa sijawahi kusikia hii kitu,leo na uzee wangu huu ndio nimeyajua haya...
Yapo mkuu ni kuendelea kujifunza tuu.. sanasana ukikuta na mwanamke mwenye blood group o-....
 
Mtoto wa kwanza atatoka salama kwa sababu mwili ukisha detect kwamba kuna foreign body ..mwili utaanza kutengeneza antibodies(kinga)against foreign body na itachukua muda kidogo mpaka kinga itengenezwe alafu ianze kupambana na foreign body ambayo ni kiumbe chenyewe Thus why mtoto wa kwanza atatoka salama
 
Yapo mkuu ni kuendelea kujifunza tuu.. sanasana ukikuta na mwanamke mwenye blood group o-....
Kwahiyo Dahan kwa mfano mimi ni O+ nikampa mimba wa 0-, mimba ya pili what will be the possibility hapo?
 
Kwahiyo Dahan kwa mfano mimi ni O+ nikampa mimba wa 0-, mimba ya pili what will be the possibility hapo?
Kama hatopata io chanjo ya anti d kama ilivoelezewa huko juu.. Madhara yatakua ni makubwa kwa huyo mtoto wa pili, kama mimba kuharibika au kujifungua mtoto aliye fariki au kufia tumboni, mtoto kupata anaemia akiwa tumbon au akizaliwa,jaundice, kuharibika ubongo (brain damage) , heart failure, learning difficulties, deafness (akiwa amezaliwa) etc.. fyddell

Kuna wanawake kila wakibeba mimba zinatoka bila kujua sababu inaweza kuwa ni iyo rh incompatibility.. Na wengine ni wagumu kwenda mahospitali.
 
Kumbe unajua biology hivi duuh ☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️ Noma sana auntie
 
Lugha ya picha hiyo kijanaa ila kwa kuwa huelewi kinachoongelewa kwenye science halisi utaona ni utani.
na hiyo dharau yako unadhania mimi sielewi kinachoongelewa unajua degree zangu ni za nini?

rikiboy, unaijua field ya Virology iko na vitu gani humo ndani?
 
na hiyo dharau yako unadhania mimi sielewi kinachoongelewa unajua degree zangu ni za nini?

rikiboy, unaijua field ya Virology iko na vitu gani humo ndani?
Virology tena πŸ˜€
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ rhesus factor na virus tena anyway kama unaelewa kilichoongelewa ni jambo zuri ule mfano ni uonesha tu how mwili unaweza kureact vigorously sababu tayari kuna data za kwanza.
 
Hiyo ni kukuonyesha kwamba niko kwenye field ya sayansi na hivyo vitu kama rh+ nilishavipitia zamani sana na navielewa vizuri.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…