JOH CARLOS
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 582
- 272
- Thread starter
- #21
soma procurement & supply ukimaliza kapige mitian ya ugavi PSTB
**** mtu amenambia hii course ina watu wengi saaana
soma procurement & supply ukimaliza kapige mitian ya ugavi PSTB
Kwanini kozi ya biashara ndo umeifanya kuwa chaguo lako hasa na sio science?
Ebu weka matokeo yako hapa kwa mtiririko huu;
Advanced maths?
Physics?
Chemistry?
Accounts?
Economics?
Commerce?
I.e weka scores za comb yako form six na sio huo mfumo wa gpa/merit tukusaidie vizuri.
Nenda engineering ikiwa watayaelewa haya matokeo yako ya BRN.advance maths B+
physcis C
chemistry B+
hayo apo bos
Bora Mkuu wewe umetoa ushauri, sio sio jamaa hapo juu amekuwa biased na ame exagerate issue za procurement, ameisifu mara ina ajira nyingi mara account ni sawa na finance, Kwa mfano hakuwa mkweli ameonesha kama wagavi wanajua na kufanya kazi za wahasibu wakati ukweli ni kinyume chake. KIMSINGI TATIZO LA MASOMA YA BIASHARA GRADUATES NI WENGI HADI WATU WENYE UWEZO MDOGONenda engineering ikiwa watayaelewa haya matokeo yako ya BRN.
Achana na biashara make haitoi uwanja mzuri wa kujiajiri.
Soko la ajira kwa nchi yetu limekaa vibaya hasa kwa business graduates.
Telecom, electrical ama mechanical engineering zitakupa uwanja mpana kuanzia kujiajiri mwenyewe hata kuteka soko la waajiri.
Na ikiwa focus yako ni kuajiriwa tu, basi chukua civil ingineering.
Hata mie alinitia hofu sana yule jamaa pengine hana uelewa wa kutosha juu ya course ya procurement ngazi ya bachelor.Bora Mkuu wewe umetoa ushauri, sio sio jamaa hapo juu amekuwa biased na ame exagerate issue za procurement, ameisifu mara ina ajira nyingi mara account ni sawa na finance, Kwa mfano hakuwa mkweli ameonesha kama wagavi wanajua na kufanya kazi za wahasibu wakati ukweli ni kinyume chake. KIMSINGI TATIZO LA MASOMA YA BIASHARA GRADUATES NI WENGI HADI WATU WENYE UWEZO MDOGO
Nenda engineering ikiwa watayaelewa haya matokeo yako ya BRN.
Achana na biashara make haitoi uwanja mzuri wa kujiajiri.
Soko la ajira kwa nchi yetu limekaa vibaya hasa kwa business graduates.
Telecom, electrical ama mechanical engineering zitakupa uwanja mpana kuanzia kujiajiri mwenyewe hata kuteka soko la waajiri.
Na ikiwa focus yako ni kuajiriwa tu, basi chukua civil ingineering.
Mkuu biashara ina ushindani mkubwa sana. Kila mwaka vyuo vinamwaga graduates wengi sana uraiani na wengi wao hata hawana uweledi na wana vyeti vya kuunga unga!bwana kisima nina ninaitaj kusoma masomo ya biashara naona una uelewa mkubwa naomba uniambie koz ya biashara
asantee kwa ushaur wako mzurMkuu biashara ina ushindani mkubwa sana. Kila mwaka vyuo vinamwaga graduates wengi sana uraiani na wengi wao hata hawana uweledi na wana vyeti vya kuunga unga!
Upande sahihi kwa ulimwengu wa sasa ni science studies make tunaishi kwenye ulimwengu wa teknologia na uvumbuzi!
Ukisoma engineering utakuwa stressfree and you will roam everywhere even by employing yourself.
Ebu fanya uyatendee haki masomo yako(PCM) kwa kuopt kuwa innovative&expert.
Kwa mfano ukisoma accounts sana sana utapata CPA(T), ACCA ama CIMA then what next?? hata alieko nyuma yako nae atakomaa na kukufikia kirahisi tu tofauti na ku expertise kwenye science.
Anyway kama kuna chuo kinatoa Bachelor in International trade and supply chain basi nenda kachukue.
amekosea, ni zaidi ya saaaana.**** mtu amenambia hii course ina watu wengi saaana