JOH CARLOS
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 579
- 269
Habari wanaJF;
Naomba ushauri, nimemaliza kidato cha sita 2015 ila sikwenda chuo. Sasa nahitaji kuapply mwaka huu. Napenda sana biashara, ni kozi gani nzuri ya kwenda kusoma?
Nawasilisha.