amygdala
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,082
- 997
Habari zenu
ha umeyaweza?
Naishia hapa labda na wenzangu mna neno la ushauri
kama tayariulihampa talaka wala usjishughulishe nae tena..kwanza inaonekana hakuheshimu hata kwao wazazi wake hawakuheshimu shukuru tu Umeweza kuuacha usijejitafutiamatatizo mengine, hapo mtoto huyo sio wako na hata mkweo anajua na ndio maana nayeye kakujibu mbovu