Naomba ushauri kwa wenye uelewa wa magari, kati ya toyota landcruiser prado na toyota harrier(4cylinder) zote za kati ya miaka 1998-2001, ipi ni bora kwa matumizi ya dar, angalau mara mbili kwa mwezi linaloweza ingia rough roads lets say dar-mpanda(katavi) ambalo value yake haishuki sana kama ukitaka kuliuza, hata kwa show kwa sisi vijana lipi zaidi, upatikanaji wa spares, ntashukuru sana kwa maoni yenu.
Mkuu naona hukulielewa swali!!Nunua zote mbili, raha ya mjini showtime! Wknd unatumia harrier, kazi kwa prado.