Ushauri: Kaolewa na mzee anataka niwe nae naogopa

Ushauri: Kaolewa na mzee anataka niwe nae naogopa

DOGofGOD

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,341
Reaction score
480
Ni binti mmoja wa mtaa wa pili karibia apa nnapokaa.Binti mwenyewe bado ni mbichi kabisa lakini kaolewa na mzee mvi zimeanza kumjaa kichwani.Huyu binti ni mama wa nyumbani lakini mumewe amemfungulia kiduka.Kwahiyo mda mwingi anakua yuko dukani anauza.Na mimi ndo mahali nnapopata mahitaj yangu ya kila siku kwsbb ndio duka la karibu

Lakni kila nikienda pale dukani uso wa huyu binti hauna furaha.Lakin kwa akili za kiutu uzima nikajua huyu binti mzee wake hamlizishi.Ukimuangalia machoni anaonesha kabisa anahitaji kijana mwenzie wa kumpetipeti.Mzee anampunja sana.

Kwahiyo nikaanza kumwaga sera zangu taratibu mpaka zikaeleweka.Lakini tatzo nafasi ya kutoka hana.Kwahiyo amenambia kama nataka mzigo nimbinjukie mchana wakat watoto wameenda shule na mzee akiwa yuko kazin.Huku kwetu kumetulia sana hakun shazi na uwezo wa kubinjuka upo ila moyo wangu bado unasita

Naombeni mnipe hujasiri au ushauri nimbinjukie au vp.Kwsbb anaonekana amechoka "singeli" na anahamu sana na "yamotoband".Nikimnyima ntakua sijamtendea haki.
 
Jitoe akili kama unataka kufa.

Mwanamke akitaka hiyo kitu kutoka nafsini hawezi kukosa nafasi. Yani hilo haliwezekani kwakweli. Mi naona hapo kuna kamuvi kanaandaliwa...hana nia njema!

Sepa fastaa
 
Jitoe akili kama unataka kufa.

Mwanamke akitaka hiyo kitu kutoka nafsini hawezi kukosa nafasi. Yani hilo haliwezekani kwakweli. Mi naona hapo kuna kamuvi kanaandaliwa...hana nia njema!

Sepa fastaa

Mkuu Yeye Ni Mama Wa Nyumban Na Mda Mwingi Anashinda Dukani.Istoshe Anamuogpa Zee Lake Lina Wivu Sana.
 
Back
Top Bottom