Ushauri: Kaolewa na mzee anataka niwe nae naogopa

Kapige tuu ila ulete mrejesho hapa baada ya kubinjukiwa na mzee utuambie ni kweli binti alikua anapunjwa au lah, usisahau kilainishi..
 
nimekuja ndukiii lkn baada ya kuona jina la mleta mada nimeishiwa pozi.... naona anaendeleza ya kina supu ya mawe.
 
Kapige tuu ila ulete mrejesho hapa baada ya kubinjukiwa na mzee utuambie ni kweli binti alikua anapunjwa au lah, usisahau kilainishi..

na ili apate uhakika kama kwel alikuwa anapunjwa amsubiri huyo mzee amtafune jicho....
 
Ni binti mmoja wa mtaa wa pili karibia apa nnapokaa.Binti mwenyewe bado ni mbichi kabisa lakini kaolewa na mzee mvi zimeanza kumjaa kichwani.Huyu binti ni mama wa nyumbani lakini mumewe amemfungulia kiduka.Kwahiyo mda mwingi anakua yuko dukani anauza.Na mimi ndo mahali nnapopata mahitaj yangu ya kila siku kwsbb ndio duka la karibu

Lakni kila nikienda pale dukani uso wa huyu binti hauna furaha.Lakin kwa akili za kiutu uzima nikajua huyu binti mzee wake hamlizishi.Ukimuangalia machoni anaonesha kabisa anahitaji kijana mwenzie wa kumpetipeti.Mzee anampunja sana.

Kwahiyo nikaanza kumwaga sera zangu taratibu mpaka zikaeleweka.Lakini tatzo nafasi ya kutoka hana.Kwahiyo amenambia kama nataka mzigo nimbinjukie mchana wakat watoto wameenda shule na mzee akiwa yuko kazin.Huku kwetu kumetulia sana hakun shazi na uwezo wa kubinjuka upo ila moyo wangu bado unasita

Naombeni mnipe hujasiri au ushauri nimbinjukie au vp.Kwsbb anaonekana amechoka "singeli" na anahamu sana na "yamotoband".Nikimnyima ntakua sijamtendea haki.
Ole wako ufumaniwe!! utaliwa kiepe na yai.
 
Aisee kweli wewe hasara, pia nimeanza kupata picha wewe utakua muuza chipsi hapo mtaani kwenu? wewe si ulikua unanitambia mda mfupi uliopita hapa oh mke wangu ukimuona, lo! Haya kamsaidie mzee kula makombo yaliyobaki
 
Mkuu Mke Wangu Yuko Kijijini Anarise Kachanga.Sina Mahali Pa Kuponea Ndo Maana Unaniona Naenda Race.Au Ungependa Kusikia Napiga Puchu Mkuu.
 
hahhaha..unataka tukuhalalishie kutenda dhambi. Tukupe "moral support" sio??
ukikamatwa na huyo mzee mwenye mvi usisahau kupitia hapa
 
sasa unataka ushauri ili usiogope tena ama....?

Tyta tupe file la huyu mtu.....please.....
 
Last edited by a moderator:
sasa unataka ushauri ili usiogope tena ama....?

Tyta tupe file la huyu mtu.....please.....

..acha tu..cha msingi wadau wameshamtambua huyu barobaro ajiitaye vibanzi vya kukaanga..
 
Kiepe yai uko juu kwa ma thread!!Mimi hapo ninachoona utafumuliwa marinda yako,kuliwa kabang kuko nje nje
 
Ni binti mmoja wa mtaa wa pili karibia apa nnapokaa.Binti mwenyewe bado ni mbichi kabisa lakini kaolewa na mzee mvi zimeanza kumjaa kichwani.Huyu binti ni mama wa nyumbani lakini mumewe amemfungulia kiduka.Kwahiyo mda mwingi anakua yuko dukani anauza.Na mimi ndo mahali nnapopata mahitaj yangu ya kila siku kwsbb ndio duka la karibu

Lakni kila nikienda pale dukani uso wa huyu binti hauna furaha.Lakin kwa akili za kiutu uzima nikajua huyu binti mzee wake hamlizishi.Ukimuangalia machoni anaonesha kabisa anahitaji kijana mwenzie wa kumpetipeti.Mzee anampunja sana.

Kwahiyo nikaanza kumwaga sera zangu taratibu mpaka zikaeleweka.Lakini tatzo nafasi ya kutoka hana.Kwahiyo amenambia kama nataka mzigo nimbinjukie mchana wakat watoto wameenda shule na mzee akiwa yuko kazin.Huku kwetu kumetulia sana hakun shazi na uwezo wa kubinjuka upo ila moyo wangu bado unasita

Naombeni mnipe hujasiri au ushauri nimbinjukie au vp.Kwsbb anaonekana amechoka "singeli" na anahamu sana na "yamotoband".Nikimnyima ntakua sijamtendea haki.

Fresh, ila jiandae kutumika bila hiana.
 
kiepe kaa tayari kutoa ndogo a.k.a jicho a.k. a channel o a.k.a tigoooo
 
Mkuu Yeye Ni Mama Wa Nyumban Na Mda Mwingi Anashinda Dukani.Istoshe Anamuogpa Zee Lake Lina Wivu Sana.

Kweli wengine tumejaliwa kubuni. Hivi kati yenu wawili ni yupi anautaka ushauri? Kwanza weye ulijuaje kuwa uso wa mtu huonyesha hitaji la kubanjuliwa??
Anza kutuambia kuwa matamaa yako ndo yamekupeleka kwa mke wa mtu. Ukatumia umri na sura ya mume wake kumkashifu mpaka mama wa watu akakusikia. Sasa unataka tukushauri nini. Utakapo kamatwa na kufanyiwa jeuri utatueleza?
Hay bwana mkubwa, nenda, tena nenda mchana peupe ili uonekane ukitoka bila nguo. Mwanamke mwenyewe "used tayari" Umekosa original au unawaogopa.
 
Kiepe yai kaka uyoo Ukimwacha lazma upate dhambi ya uchoyo au kutojitoa an
Sasa nakushauri msaidie a.k.a mgegede manake hamna namna nyingne ya kumsaidia.
 
Back
Top Bottom