Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 15,921
- 14,821
Doh nimewamiss jamaan sijaja siku 5 sass ee nipo buzy na mgonjwaaa
Haya Leo nimekuja na ubuyuu
Jaman ndugu zangu na wadogozangu wa kike majamaa au waume Au boyfriends zenu wasipocheat (wasipotoka nje wakachepuka) mumshukuru Munguuu bakini na siri zenu vifuaniii
Kuna methali inayosema siri ya maiti aijuaye mwosha.. Siri ya mpenzi wako baki nayo mwenyewee
Unapoamua kututangazi kwenye uma / umati kuwa mumeo hachepuki unajaribu kutuambia sisi raia kuwa:
1. Mumeo falo
2. Mumeo chini anamatatizo
Maaana ni sehemu ya maisha ya wanaume (DNA) kuchepukaaa lazima ampeleke mbwa kwenye mazoezi akanyooshe miguu akikaa ndani anakuwa kokoo na hamna mwanaume anaekubali kuwa koko
3. Mumeo anatembeza / anachepuka sana sasa unajaribu kutoa ujumbe kwa jamiii ya watu wazima (maana sisi watu wazima tukiskia tu unaimba nyimbo za mumewangu hacheat tunajua anacheat sasa unajaribu kujificha kwenye mwamvuli wa hachepuki (hacheat) ) kuwa unahitaji msaada ufanyaje maana ishakuwa too much
4. Mwanaume sio mwenzio ukae kumsifia kama mamako mzazi..
Kwanzaa hata hao wanaume wenzie wakiskia jamaa hachepuki wanamwona anashida kidogo au kunavitu anakuficha kama mpenzi wake. .. inshort anaonekana falo kwa wanaume wenzake kama sio mchelemchele
Hayo yote nimeongea hapo juu ya wanaume sio yote yanaweza kufanana nkwa wanawake. .. maana wanawake tunawoga flan hivi ijapokuwa wapo wanawake wanachepuka kama wanaume na kuzidi kwahiyo usikae ukamsifia mkeo / mpenzi wako kuwa hachepuki (hacheat)
Ni hayo tu kwa Leo ... nimemsikiza sana Riama Ally akimsifia mumewe kuwa hachepuki nikamwona anashida au Kuna kitu anajaribu kuficha uma
Kujitutumua nako kazi Jaman bora ukae tu kimya kama Money Penny hapa kimyaaaa
Msikilizeni dadaenu Riyama Ally hapa kwa video mcheke maana huyu mama ni sheedah mwanaume mwenyewe anaonekana kitombi hatarious!