Ushauri: Kaka angu anateseka.

Jamani hawa wanawake wa kaskazini wana shida gani mara wanaua waume zao, mara wanatuma nauli waje kumpiga shemeji
wapare mungu anawaona alafu tabia ya kuwalisha makande waume zenu muache


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu sidhani kama ana ndugu mwenye shida. Angekuwa nae asinge andika kiujinga hivi.
Sasa sijuii anataka ushauri kihuni kama alivyo andika kihuni?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ujinga mwanamke kupiga sim kwao nduguze waje mpuga mumewe si akili za kawaida ni ujinga halaf mume naye baada ya kupigwa anatoa nauli mashemeji warudi hahahahahahhaha nahisi hii habari haina ukweli
ILi kuepuka muendelezo wa kipigo inabidi tu atoe nauli waondoke
 
Ok sawa..
ni hiviii..
Mkewe anamuombaga
Hela ya nauli
anawatumia
kaka zake
watatu waje
kumpiga
bro..wakishapiga
wanaomba tena
nauli ya kurudia
kwao
Kumbe unajua kuandika vizuri,uwe unaandika kama hivi ukitaka wengi waweze kukuelewa.
 
Ni wewe mkuu, kumbe unapigwaga na shemeji zako, aisee jifue hata karate
 
Ndugu, sisi sio wavuta gundi wenzio,andika maelezo yako vizuri,sio kila mtu ni wa Chuga hapa
 

Moneygram ya nauli? daah aisee hii ni "madha tongyu" kabisaaa. Huyo kaka yako achague mwenyewe, kuendelea kupigwa au kuachana na huyo mwanamke, ipo siku atatoa "moneygram ya nauli" ya kuja kuuliwa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…