princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,063
Aisee nmesoma jpo kwa shida maana huo mstatili hataaari,kifup hlo sio la kushauriwa kama akili yake itashindwa kulitatua hilo,tutegemee siku moja ataomba ushauri kama akanyee au laa maana kabanwa na gogo(nakutania jombaa),mwambie achague haya matatu la kwanza awe na huyo mke ila aonye hyo tabia ikome,pili amuache maana inaonekana hajafunzwa vyema kwao(kaka ako nae ni fala kwa mkewe),la tatu ni none of above yaani ya ndan ayatatue kama mwanamme na sio mwenye uumeMachalii
wa humu
Eroo Suphai,,
Ma mamiloo
Takwenyaa,,
Okay ngoja
nichumpe
mokomoko
kwenye point,
Nna kaka angu
nnaemfata kabisa
yeye ni wa pili
kutoka mwisho
kuzaliwa uku
mimi
nikiwa ndo wa
mwisho....
Huyu broo
ana mke
ambae kamuoa
mwaka jana
tu apa
mwezi kama
wa9 ivi...
Mkewe ni
mpare wa
Same Kilimanjaro,
Sasa wengeree ni
pale wanakwazana
na kuzinguana,
Mke wake
huwa anamshurutisha
broo ampe moneygram
ya usafiri wa kaka
zake watatu na mke
wa bro ambao
wapo Same Kilimanjaro
na kuja Arusha Kumdunda
Brother,,
Wakishampa
kifinyo brother
wanamuomba
tena moneygram
ya nauli kurudi
Same..Bro
alikua anaomba
ushauri wenu
wadau au
ahame Chuga
tu kuepuka
usumbufu??
#Wanaume
tunapungua
kwa kasi ya
Supersonic
Duniani.
@ChaliiYaKijengeJuu
Ok sawa..Me sjaelewa, kua wanamuomba nauli halaf wanakuja mpiga au ni vipi
MikwaluzanoKaka yako amekosa kosa gani la kuitiwa mashemeji wampe kipigo?
SawaUmejaa utoto
Ok sawa..
ni hiviii..
Mkewe anamuombaga
Hela ya nauli
anawatumia
kaka zake
watatu waje
kumpiga
bro..wakishapiga
wanaomba tena
nauli ya kurudia
kwao
Me sjaelewa, kua wanamuomba nauli halaf wanakuja mpiga au ni vipi
Kwani hiyo ndoa ni gereza? Amwage manyanga hizo ni dalili za manyanyaso kwenye ndoaMikwaluzano
ya hapa na pale
ya ki ndoa asee
Huu ni ujinga mwanamke kupiga sim kwao nduguze waje mpuga mumewe si akili za kawaida ni ujinga halaf mume naye baada ya kupigwa anatoa nauli mashemeji warudi hahahahahahhaha nahisi hii habari haina ukweli
Kabisa Sister..Kwani hiyo ndoa ni gereza? Amwage manyanga hizo ni dalili za manyanyaso kwenye ndoa
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]s
a
s
a
j
o
m
b
a
a
m
b
o
n
a
u
n
a
a
n
d
i
k
a
m
a
s
h
a
h
i
r
i
???