Ushauri juu ya tunda

fakenology

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
1,002
Reaction score
673
Wewe ni mzazi wa kiume. Uma binti wa miaka nane. Unasafiri na binti anakulilia sana msafiri nae.
Ili kumridhisha unamuulza bint.
'mwanangu nyamaza. je nikirud nikuletee zawadi gani?'
Anakujibu
'baba niletee tunda la mti wa katikati walilokula Adam na Eva nasikia ni tamu sana na mimi nataka nilile'
ili kumtuliza unakubali.
je ukirud utamletea tunda gani ili akuamini?
ni rafiki yangu imemtokea na zmebaki siku 5 arud.
ushauri wandugu.
 
very low! umeongeza idadi ya post zako.
 
Sioni kitu cha kuchangia hapa.
 
kama memory yako n ndogo kwa hili file co mbaya ukapita tu. kwan binadamu hatulingan uwezo wa kufikiri.
 
Nasikia kuna mamba wametoroka pale kwenye bwawa linalomilikiwa na timu ya YANGA pale Jangwani,na mmoja kapatikana Moroco.

Nampgia simu Mzee Akilimali anipe uhakika,simu inaita tu.

Hebu nipeni uhakika.
 
Nasikia kuna mamba wametoroka pale kwenye bwawa linalomilikiwa na timu ya YANGA pale Jangwani,na mmoja kapatikana Moroco.

Nampgia simu Mzee Akilimali anipe uhakika,simu inaita tu.

Hebu nipeni uhakika.

Subiri kidogo, Mzee Akilimali anajiandaa kuswali now. Vumilia amalize.
 
Nasikia kuna mamba wametoroka pale kwenye bwawa linalomilikiwa na timu ya YANGA pale Jangwani,na mmoja kapatikana Moroco.

Nampgia simu Mzee Akilimali anipe uhakika,simu inaita tu.

Hebu nipeni uhakika.

Uchafu ni kitu ambacho kipo sehemu isiyostahili. Kinyesi cha ng'ombe ni mbolea ikiwa shambani kinyume cha hapo ni uchafu mtupu. Maada yako hapa ni uchafu.
 
nmekosa jibu thus y nikaamua niulze jamvin ila nimeona wengi wao baada ya kushindwa kushauri wameanz kutoa kashfa.

Mwambie hiviii, mwanangu ule mti unaotoa hayo matunda hauoti tena, Mungu aliamua kuuteketeza ili kuwaokoa wanadamu manake ulikuwa na sumu, yani matunda yake yanaleta maradhi.
Mwambie nitakuletea tu machungwa.

And the topic is closed!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…