Ushauri juu ya tatizo la kushindwa kumpa mwanamke mimba

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Habari za mchana madaktari, wabobezi pamoja, watalaam na wajuzi juu ya masuala ya afya ya watu.

Ninaomba ushauri juu ya tatizo la mtu ambaye ana shida hii ya kupata mtoto.

Hapo awali alienda kupima sperm zake ikaonekana hazina uwezo wa kutungisha mimba, lkn baadae alipewa Dawa akanywa, kwa muda wa miezi sita na akafanikiwa kutungisha mimba kwa mkewe japo Bahati mbaya iliharibika.

Sasa tangu hapo amekuwa akihangaika tena lakini bado ameshindikana.

Hapo nilikuwa naomba ushauri wa kitaalam kwa mtu huyu. Je, Arudie dawa au ni timing tu ya kutungisha?
 
Aendekupima tena hizo Sperm zake na akitaka Dawa ya kuweza kumpa mimba mke anaitafute mimi nitaweza kumpa dawa na atashika mimba mke wake.Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Back
Top Bottom