Ushauri juu ya suala hili

Ushauri juu ya suala hili

Ukiona mwanamke anakuambia yeye bikra s.ex ni mpaka ndoa ujue either hakutaki au hajavutiwa na wewe...

Au anakuona kabisa utampotezea muda wake...

Cc: mahondaw
 
Ukiona mwanamke anakuambia yeye bikra s.ex ni mpaka ndoa ujue either hakutaki au hajavutiwa na wewe...

Au anakuona kabisa utampotezea muda wake...

Cc: mahondaw
Hilo nao neno lakini mbona nikiwa mbali na yeye huwa anaumia sana na ana wivu sana na mm huwa hataki kuwa mbali na yeye
 
Wanao subiri ndoa nao wana mamboooo
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kubebesha mtoto wa mwenzio mbuzi kwenye gunia....me mdogo wangu akinshirikisha siruhusu habari za kusubiri ndoa.....x
 
unaomba bikra nyingine yoyote aliyonayo ata kama ni ya masikio alafu unapiga chini mazima
 
Back
Top Bottom