Ushauri juu ya Nikon D3200

Ushauri juu ya Nikon D3200

John porter

Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
65
Reaction score
28
Habari zenu,
Nimepanga kununua Nikon D3200 hivyo kwa mwenye uzoefu nayo tafadhali naomba ushauri.

Ndio naanza kujifunza kupiga picha.
 
Mie pia ningeomba mtu aniambie ni ipi camera nzuri kati ya Nikon D3200 na D3100.
 
Nazani uzuri wa kamera uko kwenye lens na kila lens in matumizi yake kutokana na maitaji yako
 
Back
Top Bottom