Kiti cha mbele kabisa hapa.
Na kweli,sasa mfano,bongo unamwekea nani bafu la joto wakati ukitbea mtaani tu joto mpaka kwenye menoHaya ni mabafu yaliyoanzia Finland. Mawe huwa yanachemshwa kisha yanamwagiwa maji. ule mvuke ndiyo unakuwa unauoga. Watu wa nchi hizo wakitoka humo hujotupa kwenye maswimming pool ya baridi. Kwa maoni yangu haya mabafu hayafai kwenye nchi zetu za joto. labda maeneo yenye baridi.
Kiti cha mbele kabisa hapa.
Niko pembeni yako. Siti yangu asikae mtu
Hongereni kwa kushika font ferdNamie hapa hapa front line nkisubir wataalam w sauna
Unatoka jasho jingi sana si la kitoto mimi mara ya kwanza nilitoa jasho takriban 1/4 ndooHaya ni mabafu yaliyoanzia Finland. Mawe huwa yanachemshwa kisha yanamwagiwa maji. ule mvuke ndiyo unakuwa unauoga. Watu wa nchi hizo wakitoka humo hujotupa kwenye maswimming pool ya baridi. Kwa maoni yangu haya mabafu hayafai kwenye nchi zetu za joto. labda maeneo yenye baridi.
Hii ya kuchemsha dawa za asili na kufunikwa na blanket nimefanya sanaKama elii alivyosema ukizoea sauna huwezi kuacha. Mimi nimekuwa addicted na sauna sana. Naingia pale mara mbili kwa wiki na gharama yangu kwa wiki ni kama Tshs.14,000. Lakini hiyo naona siyo kitu. Nimepata nafuu sana. Kitu kama malaria, gauti na magonjwa mengine ni kama historia. Unapotoka pale unakuwa sana mwepesi. Ngozi inakuwa sana laini na ukilala unalala usingizi wa pono. Wazazi wetu huko nyuma walikuwa na sauna yao. Mfano kama mtu alikuwa naumwa kila mara waliweza kuchemsha maji kwenye chungu kikubwa na lile chungu linafunikwa na blanketi kubwa na wewe pia unafunikwa na lile blanketi kwa hiyo ule mvuke unaotaoka kwenye chungu unakufikia na mhusika kuanza kutoa jasho jingi. Wazungu wameiboresha lakini na sisi waafrika tulikuwa na sauna yetu. Sauna ni tiba hasa ukitumia chapa shoka.
Shoka na lenyewe linachemshwa?Kama elii alivyosema ukizoea sauna huwezi kuacha. Mimi nimekuwa addicted na sauna sana. Naingia pale mara mbili kwa wiki na gharama yangu kwa wiki ni kama Tshs.14,000. Lakini hiyo naona siyo kitu. Nimepata nafuu sana. Kitu kama malaria, gauti na magonjwa mengine ni kama historia. Unapotoka pale unakuwa sana mwepesi. Ngozi inakuwa sana laini na ukilala unalala usingizi wa pono. Wazazi wetu huko nyuma walikuwa na sauna yao. Mfano kama mtu alikuwa naumwa kila mara waliweza kuchemsha maji kwenye chungu kikubwa na lile chungu linafunikwa na blanketi kubwa na wewe pia unafunikwa na lile blanketi kwa hiyo ule mvuke unaotaoka kwenye chungu unakufikia na mhusika kuanza kutoa jasho jingi. Wazungu wameiboresha lakini na sisi waafrika tulikuwa na sauna yetu. Sauna ni tiba hasa ukitumia chapa shoka.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hongereni kwa kushika font ferd
Hii ya kwetu inaitwa Kujifusha (Fusho) unachanganya majani mbali mbali ya asili ikiwemo miarobaini, mivumbasi nk.. Mimi mpaka kesho natumia hii kitu!Kama elii alivyosema ukizoea sauna huwezi kuacha. Mimi nimekuwa addicted na sauna sana. Naingia pale mara mbili kwa wiki na gharama yangu kwa wiki ni kama Tshs.14,000. Lakini hiyo naona siyo kitu. Nimepata nafuu sana. Kitu kama malaria, gauti na magonjwa mengine ni kama historia. Unapotoka pale unakuwa sana mwepesi. Ngozi inakuwa sana laini na ukilala unalala usingizi wa pono. Wazazi wetu huko nyuma walikuwa na sauna yao. Mfano kama mtu alikuwa naumwa kila mara waliweza kuchemsha maji kwenye chungu kikubwa na lile chungu linafunikwa na blanketi kubwa na wewe pia unafunikwa na lile blanketi kwa hiyo ule mvuke unaotaoka kwenye chungu unakufikia na mhusika kuanza kutoa jasho jingi. Wazungu wameiboresha lakini na sisi waafrika tulikuwa na sauna yetu. Sauna ni tiba hasa ukitumia chapa shoka.
Lazima utakuwa umetoka usingizini.Shoka na lenyewe linachemshwa?