kama unataka za china ya nini uende kariakoo? Nenda monalisa, utanunua kwa bei ya jumla, chagua unazotaka kutokana na mfuko wako then utaenda kufuata mzigo wako godauni. Maana hata hao wa kariakoo wao wanachukua huko huko.
Kuhusu za spain aina uzoefu nazo mzee mi nimezoea za kichina

AKHSANTENI SANA MKUU amoja na Mzee wa usafi. Hivi Monalisa ni wapi. Naomba maelekezo jinsi ya kufika.
Mkuu ulipotaja Monalisa kuna kitu umenikumbusha. Hivi hawa jamaa wako katika kundi gani? Ni wafanyabiashara wa kawaida au ni wawekezaji? Je wawekezaji wanapashwa kuweka hesabu sahihi za transaction zao? Nauliza hivyo kwa kuwa nilielekezwa kwenda hapo Monalisa na jamaa yangu kwenda kununua board fulani kwa ajili ya ujenzi. Tulikubaliana bei na nililipa pale. Walinipa kikaratasi kimeandikwa kwa lugha ya kichina na kunielekeza kwenda Chang'ombe kwenye godown lao kupakia mzigo. Nilipofika Godown, niliwaonyesha hicho kikaratasi na wao walinipa huo mzigo. Delivery note waliyoniandikia pale godown, ilionyesha kwamba nimenunua huo mzigo katika duka fulani la hardware kariakoo. Pesa nilizolipa karibu 15M sikupewa receipt wala nini.
Kwa mtindo huu hawa jamaa si wanakwepa ushuru? Hata VAT hawalipi kwani malipo yangu hayakuwa na receipt.
Je kuna mwingine hapa JF aliyewahi kukutana na ujanja wa hawa wachina?
Tiba
Wakuu HERI YA MWAKA MPYA.
Nimeelekezwa kuwa kuna tiles za china ambazo ni Grade1 ambazo ni nzuri na zinapatikana kwa bei nafuu maeneo ya Kariakoo. Hivyo naomba mwenye details juu ya hoja hii ambapo nimeelezwa kuwa kama unanunua zaidi ya SQ metre 100 wanakuuzia kwa bei ya jumla ambayo ni nafuu kidogo.
Hivyo naomba msaada kwa wale waliokwisha kutumia hasa juu ya ubora, aina (nimeambiwa kuna Granite ama kitu kama hicho)na bei kwani kwa tiles za Spain nimechemsha SQ1 53,000/= nimeshindwa. Pia ushauri mwingine wowote juu ya hili nitashukuru
Natanguliza shukrani
Unaonekana una test na traditional, execuisite structures, that's good. Have u tried tanga stones? Hizi ziko za designs nyingi zikiwemo hata za floor, ukizitumia na kuzipa polish yake vizuri, they look so nice, na bei zake ni nzuri na affordable, kwasababu fuso ya around 12tons wana deliver mpaka site kwa 1.1m ujazo ambao utafanyia kazi kubwa sana.
tanga stones? Ndo naisikia kwako. Tuelezee utufumbue macho
Unaonekana una test na traditional, execuisite structures, that's good. Have u tried tanga stones? Hizi ziko za designs nyingi zikiwemo hata za floor, ukizitumia na kuzipa polish yake vizuri, they look so nice, na bei zake ni nzuri na affordable, kwasababu fuso ya around 12tons wana deliver mpaka site kwa 1.1m ujazo ambao utafanyia kazi kubwa sana.
Yale mawe yanayouzwa barabarani ndiyo yanaitwa hivyo.
Ila leo umenipa idea mpya yale mawe yakipigwa polish yanakuwa safi sana